Ethiopia to issue IDs for Rastafarian community

Kurzweil

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
6,622
Reaction score
8,427
Culture-Minister-the-Honourable-Olivia-Grange-met-with-members-of-the-Rastafarian-Community.jpg
​

Wizara ya Mambo ya Nje ya Ethiopia imesema kuwa itatoa vitambulisho kwa jamii ya wenye imani ya Rastafari ikiwa ni njia ya kuwapa haki zao za msingi kwakuwa wanaamini nchi hiyo ndio nchi yao ya ahadi.

Watu wenye imani hiyo walianza kuhamia nchini humo katika kipindi cha miaka ya 1950 baada ya aliyekuwa mtawala wa taifa hilo Haile Selassie ambaye wanamtambua kama Mesia kutenga aneo la Hekta 500 sawa na Hekari 1200 kwaajili ya makazi ya watu hao.

=====
Ethiopia's foreign ministry said Friday it will issue identification cards to Rastafarians, granting rights to a community that has long complained of living in limbo in their "promised land".

Rastafarians began immigrating to Ethiopia in the 1950s after Emperor Haile Selassie, whom they consider their messiah, set aside 500 hectares (1200 acres) of land in the southern city of Shashamane for descendants of African slaves seeking to return "home".

But the community shrank after Haile Selassie's overthrow and eventual murder in the 1970s.

These days, the Rastafarian community in Shashamane numbers in the hundreds, but the religion's adherents complain that they can't own property, send their children to university or work because they're not Ethiopian citizens.

Many have also turned their backs on their home countries by not renewing their passports, leaving them stateless.

Foreign ministry spokesman Meles Alem told AFP Rastafarians will now be eligible to receive ID cards that will allow them to reside and have most legal rights in the country.

However, while this card allows them residency they are still not considered citizens.

"There were questions for them to recognise their presence in the country, so that is what the government did," Meles said.

Under the revised guidelines, the cards will also be available to foreigners, who have contributed to the country's development and to Israelis of Ethiopian descent, Meles said.

Source: Daily Nation
 
Sasa it's time for all rastafari to conquering entered country of Ethiopia.. sijui nI nani aliwaahahidi nchi!
 
I & I are the only one left in Jah creation, I & I are the roots
I and I, i, i, i, i, i,i go foward Africa.

Jah Rastafari
I&I should never hold I peace while wrong is going on - day or night
Man! Bust down Babylon gates - preparing the way - preparing the way for Jah People
Fight down war crime, fight down war and crime, fight down war and crime
And build up righteousness
 
Nawaelewa sana hawa ila wanazingua kwa kuona kama Haile Selassie ndio kila kitu kwao.

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.

They were slaves for 400 years! they are looking for black identity (brothers and sisters) which have never been colonised, striped naked and brainwashed. A culture that was able to keep its culture for thousands of years, in other world they are looking for True, honest, authentic Africa. This is why they like Ethiopia because it was never colonised and it the source of world Civilization, it is still authentic African Culture.

By the way Haile selassie was one of greatest African leader ever. He defeat Italians and wanted unite the whole of African and Black peopleall over the world. Read his speech here Haile Selassie's address to the United Nations, 1963 - Wikisource, the free online library

Bob Marley wrote the song about this Haile Selassie speech

On the question of racial discrimination, the Addis Ababa Conference taught, to those who will learn, this further lesson:

that until the philosophy which holds one race superior and another inferior is finally and permanently discredited and abandoned; that until there are no longer first class and second class citizens of any nation;

that until the color of a man's skin is of no more significance than the color of his eyes;

that until the basic human rights are equally guaranteed to all without regard to race;

that until that day, the dream of lasting peace and world citizenship and the rule of international morality will remain but a fleeting illusion, to be pursued but never attained.

And until the ignoble and unhappy regimes that hold our brothers in Angola, in Mozambique and in South Africa in subhuman bondage have been toppled and destroyed;

until bigotry and prejudice and malicious and inhuman self-interest have been replaced by understanding and tolerance and good-will;

until all Africans stand and speak as free beings, equal in the eyes of all men, as they are in the eyes of Heaven;

until that day, the African continent will not know peace. We Africans will fight, if necessary, and we know that we shall win, as we are confident in the victory of good over evil.
 
They were slaves for 400 years! they are looking for black identity (brothers and sisters) which have never been colonise, striped naked and brainwashed. A culture that was able to keep its culture for thousands of years, in other world they are looking for True, honest, authentic Africa. This is why they like Ethiopia because it was never colonise and it the source of world Civilization, it is still authentic African Culture.

By the way Haile selassie was one of greatest African leader ever. He defeat Italians and wanted unite the whole of African and Black people. Read his speech here Haile Selassie's address to the United Nations, 1963 - Wikisource, the free online library

Bob Marley wrote the song about this Haile Selassie speech

On the question of racial discrimination, the Addis Ababa Conference taught, to those who will learn, this further lesson:

that until the philosophy which holds one race superior and another inferior is finally and permanently discredited and abandoned; that until there are no longer first class and second class citizens of any nation;

that until the color of a man's skin is of no more significance than the color of his eyes;

that until the basic human rights are equally guaranteed to all without regard to race;

that until that day, the dream of lasting peace and world citizenship and the rule of international morality will remain but a fleeting illusion, to be pursued but never attained.

And until the ignoble and unhappy regimes that hold our brothers in Angola, in Mozambique and in South Africa in subhuman bondage have been toppled and destroyed;

until bigotry and prejudice and malicious and inhuman self-interest have been replaced by understanding and tolerance and good-will;

until all Africans stand and speak as free beings, equal in the eyes of all men, as they are in the eyes of Heaven;

until that day, the African continent will not know peace. We Africans will fight, if necessary, and we know that we shall win, as we are confident in the victory of good over evil.

Nimekaa nao sana nawaelewa in and out.... my bro in law ni Rasta pia ila kwa imani yy rasta hafugi.... kuna vitu nimechukua kwao (ndio maana hata jina ni culture gal) ila vingine nimeacha.... lengo lao ni jema kua wanaendeleza ile asili thabiti ya muafrica ila wanapinga dini hizi mbili uislam (waarabu) uikristo (wazungu).... sasa kitendo cha kumuona Haile Selassie ndio Mungu wao hapo tu ndio waliponichosha.... hua nakaa nao sana tunapiga story wakianza mambo za kupinga dini nawakimbia lol.

Thanks bro kwa muda wako umenielewesha vema sana.
Peace and Love Man.[emoji111]

Sio vizuri kuabudu mtu mwingine mwaraabu, mzungu or Haile Sellasie.
Peace & Love to you culture Gal
Jah alone should be worshipped.
 
Yaani point yao ni kua hawawezi kua Waislam coz ni dini ya waarabu na waarabu waliwatesa waafrica na hawawezi kua waikristo coz ni dini ya wazungu na wazungu waliwatawala waafrica.... ndio maana wapo kivyao vyao sasa hiyo dini yao ndio ukiisoma kwa undani utagundua kua wanamtukuza Haile Selassie hata katika nyimbo za Bob sikiliza vizuri in deep utaona anavyoaminisha kua Haile ndio Muumba wao..... hapo tu yaani ndio tulipokosana.

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
 
Yaani point yao ni kua hawawezi kua Waislam coz ni dini ya waarabu na waarabu waliwatesa waafrica na hawawezi kua waikristo coz ni dini ya wazungu na wazungu waliwatawala waafrica.... ndio maana wapo kivyao vyao sasa hiyo dini yao ndio ukiisoma kwa undani utagundua kua wanamtukuza Haile Selassie hata katika nyimbo za Bob sikiliza vizuri in deep utaona anavyoaminisha kua Haile ndio Muumba wao..... hapo tu yaani ndio tulipokosana.

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.

Lakini wanavyosema ni ukweli. Waarabu ndiyo walioanzisha utumwa Africa. Ni ukweli walitutesa sana. wakiwabaka wasichana na wavulana na kuwaua millions wa Africa na watanzania wengi. Wazungu waliwachukua na kuwapeleka utumwani America na Jamaica. kufanya kazi mashambani kwenye hali ngumu sana ambayo watu walikuwa wanaishi kwa miaka mitatu mpaka kufa.

Ndiyo wanamuona Haile Selassie kama ndiyo representative of God in the world. Kama vile, Pope, Mohamed au Jesus. Sioni kama ni vibaya kuona mtu mweusi anamwakilisha Mungu duniani na sio tu mwarabu au mzungu.
 
Usemayo ni ukweli kabisa ila kwa imani yangu Mungu hana muwakilishi ni mmoja na atabaki kua yeye kama yeye.... Hao hawaamini uwepo wa Mungu wanachojua wao Haile ndio kamaliza ni kama vile alishuka kuwakomboa baadae karudi na wao wakifa watamfata.... anyway tuachane na mada za dini as long as kila mmoja anaona sawa kwa kile akifatacho binafsi am cool... ila tu point yangu ni kua ningeingia kwenye mila yao kama wasingekua wapinga imani yangu.... mkishakua na imani tofauti hamtaelewana badala yake mtaishia kuitana wanafki tu lol... shida nyingine ni kua kuna kitu changu mimi wao wanakipinga (hakihusiani na dini) wanadai ni mila ya wazungu sasa ndio hapo tunapozidi kutofautiana.

Nipo nao katika harakati zao za ukombozi ila siwezi kuingia jumla.

Sawa basi, lakini kumbuka hawa watu wanaipenda sana Africa na wanawapenda waafrica, pia wangependa Africa yote iungane na iwe inajitegemea na iwe inaendelea kama Ulaya na America. Lakini wewe kama ulivyoamua pia ni vizuri, kwa sababu siku zote ni vizuri kufanya what is best for you.

Jah Bless you and yours.
 
Back
Top Bottom