Culture Me
JF-Expert Member
- May 24, 2017
- 10,493
- 21,453
Lol.... nitamtafuta nimuone na mimi.... ni kweli wapo wachache hao black Amercans wameanza kutafuta origin yao kwa kupima sijui mifupa.... they should remember their home ajabu wao nao wanajiona wazungu na kudharau waafrika wenzao wakati mbele ya macho ya mzungu sisi na wao wote ni black and nothing can change that.nawakubali sana hawa jamaa,kuna rsta mmoja anajiita Mtabaruka hata youtube yupo,alikataa jina lake la kizungu akaamua kujiita jina hilo la kihaya sijui kiganda,jamaa ni wazalendo kweli kweli,na huwa wanawapa shit sana akina 50cents nk wanaojifanya ni wazungu,huwa wanawaambia kuwa wharever you go Afrika is your real home