Ethiopia to issue IDs for Rastafarian community

Sawa basi, lakini kumbuka hawa watu wanaipenda sana Africa na wanawapenda waafrica, pia wangependa Africa yote iungane na iwe inajitegemea na iwe inaendelea kama Ulaya na America. Lakini wewe kama ulivyoamua pia ni vizuri, kwa sababu siku zote ni vizuri kufanya what is best for you.

Jah Bless you and yours.
Africa Unite.....
Tungekua na mioyo kama hawa Rastafarians hakika Africa ingepiga hatua sana.... shida utumwa wa fikra umetuharibu, hatupendani, hatuthaminiani, majungu, fitina... mmoja akipata anataka kiwe chake pekee yake badala ya kugawana.... hatujui kubebana wala kuvutana.... kiufupi waliposema wamegundua bara giza wala hawakukosea.
haya maneno siku zota yataishi kwangu.

Emancipate yourself from mental slavery
None but ourselves can free our minds.

I wish one day all Africans tungekua Free Minded.

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
 
Uko sahihi sana hapo. Mpaka tunapokuwa tunaheshimiana, tunasaidiana, tunapendana, tunaaminiana, siku zote tunakuwa wa mwisho. Wazungu wameungana (EU), wahindi, wachina na waarabu wanasadiana sana. Sisi tunapigana na kutukanana tu.

Hopeful one day we will sing songs of freedom, redemption songs, when we are our minds are free at last to see how the world really works and understand that we need be more united.

Hopeful one day soon we will woke up, wise up and rise up.

Untill that day when we will no fear for atomic energy coz none of them (whites) can stop the time,
How long shall they kill our prophets (freedom fighters)
While we stand aside and look (coz we fear them)
Some says is just the part of it (our bad leaders)
We've got to fulfill the book (Us, Africans to stand as one)

We have to forward this from Generation to Generation.... AFRICANS WE CAN STAND AS ONE.

Utashangaa hata wale black americans wanawadharau waafrica hahahaha pity.

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
 
Yule sio anaigiza tu.... hajakwiva katika imani yetu ya rasta. lol

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
Kwani kuna rank huwa zinatolewa za kiimani kama free mason wanavyotoa?

Au kapunguza ganja na nyama anakula?
 
Kwani kuna rank huwa zinatolewa za kiimani kama free mason wanavyotoa?
Katika kila jambo Rank lazima iwepo... huwezi kusema ww ni muikristo wakati hufati maamrisho ya uikristo.... you feel me???

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
 
Nawaelewa sana hawa ila wanazingua kwa kuona kama Haile Selassie ndio kila kitu kwao.

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
Sio wote wanaimani hiyo rafiki,Rastafari kuna sects nyingi,kuna boboshanti,nyabingi na wengineo,mimi naikubali sana rastafarian life style,kuwa na amani na upendo kwa wote,kuthamini uafrika wangu,kutomdhuru yoyote,kusaidia wenye shida lakini siamini kuwa haile selassie ni mungu,ila naamini alikuwa mwanaharakati na mpigania haki za wa afrika kama marcus garvey,malcolm x na wengineo.
 
Nimekaa nao sana nawaelewa in and out.... my bro in law ni Rasta pia ila kwa imani yy rasta hafugi.... kuna vitu nimechukua kwao (ndio maana hata jina ni culture gal) ila vingine nimeacha.... lengo lao ni jema kua wanaendeleza ile asili thabiti ya muafrica ila wanapinga dini hizi mbili uislam (waarabu) uikristo (wazungu).... sasa kitendo cha kumuona Haile Selassie ndio Mungu wao hapo tu ndio waliponichosha.... hua nakaa nao sana tunapiga story wakianza mambo za kupinga dini nawakimbia lol.

Thanks bro kwa muda wako umenielewesha vema sana.
Peace and Love Man.[emoji111]

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
katika uliyoyachukua kwao ninaimani ile holy sacrament yetu(kaya/herb)nayo umei adopt.
 
Sio wote wanaimani hiyo rafiki,Rastafari kuna sects nyingi,kuna boboshanti,nyabingi na wengineo,mimi naikubali sana rastafarian life style,kuwa na amani na upendo kwa wote,kuthamini uafrika wangu,kutomdhuru yoyote,kusaidia wenye shida lakini siamini kuwa haile selassie ni mungu,ila naamini alikuwa mwanaharakati na mpigania haki za wa afrika kama marcus garvey,malcolm x na wengineo.
Sawa sawa Rastafarian mwenzangu.... Je una dread au bado??? me ndio naanza kuweka kisha nifly to Ethiopia nikachukue Id yangu.... lol.

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
 
katika uliyoyachukua kwao ninaimani ile holy sacrament yetu(kaya/herb)nayo umei adopt.
Lol..... Hiyo hapana aiseee mama kasema nikiweka tu naokota makopo.... lol

kuna siku niliipanda ikastawi vizuri alivyoiona ndio akanambia hivyo...
Hapo nakua tofauti nao sasa.

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
 
Sawa sawa Rastafarian mwenzangu.... Je una dread au bado??? me ndio naanza kuweka kisha nifly to Ethiopia nikachukue Id yangu.... lol.

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
dread hapana aisee ingawa nazipenda,labda nifuge za ndevu,mama yangu ana dreadlocks ingawa ni sala tano na hana imani za kirasta,mi ntaendelea kuenzi falsafa za rastafari katika maisha ya kawaida pamoja na sacramenti
 
Lol..... Hiyo hapana aiseee mama kasema nikiweka tu naokota makopo.... lol

kuna siku niliipanda ikastawi vizuri alivyoiona ndio akanambia hivyo...
Hapo nakua tofauti nao sasa.

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
Inategemea mama alilisemeaje kama alikwambia hivyo kwa kukuapiza sawa,ila kama alisema tu kama angalizo basi sio kesi,unaweza kutumia tu kistaarabu na usipate tatizo lolote,mie mwaka wa tano huu natumia na naendelea nashuhuli za ujenzi wa taifa bila mushkel,tatizo wewe uliruka step,unaanzaje kuilima kabla hata hujaitumia.kaya hainaga shida,shida huwa ipo kwa watumiaji.
 
dread hapana aisee ingawa nazipenda,labda nifuge za ndevu,mama yangu ana dreadlocks ingawa ni sala tano na hana imani za kirasta,mi ntaendelea kuenzi falsafa za rastafari katika maisha ya kawaida pamoja na sacramenti
Dread za Ndevu, umenikumbusha yule mwenyekiti wao kwa Tanzania Hayati Ras Bupe alikua na dread hadi za ndevu.... halafu kwa Tz Nyerere aliwapa land Kigoma Kasulu.... Wanataka kufanya kitu....

Wanaishi maisha mazuri sana, hawabaguani, wanasaidiana, wanapendana kiufupi ukifuata mfumo wao wa maisha..... pepo ileeeee. lol

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
 
Inategemea mama alilisemeaje kama alikwambia hivyo kwa kukuapiza sawa,ila kama alisema tu kama angalizo basi sio kesi,unaweza kutumia tu kistaarabu na usipate tatizo lolote,mie mwaka wa tano huu natumia na naendelea nashuhuli za ujenzi wa taifa bila mushkel,tatizo wewe uliruka step,unaanzaje kuilima kabla hata hujaitumia.kaya hainaga shida,shida huwa ipo kwa watumiaji.
Hahahaha bro unanishawishi ujue me staki bhana.... nakaa maskani na washkaji wanaipiga ila sijawahi kupata mzuka wa kuipiga japo pafu moja na bi mkubwa alivyoikazia ndio kabisaaa.....
Halafu nilijaribu tu je itaota?? heeeh nashangaa kitu hichooo kweli niliruka step.

Hongera kwa kua mtumiaji for 5 yrs bila madhara.

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
 
Dread za Ndevu, umenikumbusha yule mwenyekiti wao kwa Tanzania Hayati Ras Bupe alikua na dread hadi za ndevu.... halafu kwa Tz Nyerere aliwapa land Kigoma Kasulu.... Wanataka kufanya kitu....

Wanaishi maisha mazuri sana, hawabaguani, wanasaidiana, wanapendana kiufupi ukifuata mfumo wao wa maisha..... pepo ileeeee. lol

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
True dat,mimi ni mwislamu lakini kuna mengi nimejifunza kutoka katika dini na imani nyenginezo ambayo nayatumia katika maisha na yananisaidia,kwenye rastafari nmechukua idea ya upendo ma amani kwa wote pamoja na aina ya ulaji,kwenye budhism nimejifunza meditation,inner piece,yoga na mengineyo yahusuyo spirituality,na detachment,kwenye catholicism nmejifunza orginization.etc
 
Wow!!! ni watu wachache sana wapo kama wewe..... nitaanza kujifunza na mimi, tho najua kidogo kuhusu imani zingine apart na yangu ya muslim.
ila kwa wahindu sijagusa... hiyo meditation wanasema ina mengi ya kuogofya ndani yake.

Back
Top Bottom