G'taxi
JF-Expert Member
- Sep 15, 2013
- 6,560
- 8,425
Hujaelewa,ungeulizaYaani point yao ni kua hawawezi kua Waislam coz ni dini ya waarabu na waarabu waliwatesa waafrica na hawawezi kua waikristo coz ni dini ya wazungu na wazungu waliwatawala waafrica.... ndio maana wapo kivyao vyao sasa hiyo dini yao ndio ukiisoma kwa undani utagundua kua wanamtukuza Haile Selassie hata katika nyimbo za Bob sikiliza vizuri in deep utaona anavyoaminisha kua Haile ndio Muumba wao..... hapo tu yaani ndio tulipokosana.
Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
JAH RASTAFARI MORNING AFRICA