Ethiopia to issue IDs for Rastafarian community

Hahahaha bro unanishawishi ujue me staki bhana.... nakaa maskani na washkaji wanaipiga ila sijawahi kupata mzuka wa kuipiga japo pafu moja na bi mkubwa alivyoikazia ndio kabisaaa.....
Halafu nilijaribu tu je itaota?? heeeh nashangaa kitu hichooo kweli niliruka step.

Hongera kwa kua mtumiaji for 5 yrs bila madhara.

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
Wavutaji wa maskani ndo wanaipa kaya sifa mbaya,kaya inapaswa kutumiwa kwa heshima,mahala tulivu,watu wachache tena wenye kujielewa,na uwe umerelax,umeshiba vizuri,pembeni una vi bites,soft drink na maji ya kutosha, kaya yenyewe iwe quality na utumie kwa ratiba maalumu,especialy baada ya kumaliza kazi,ukifanya hivyo kush haitakaa ikusumbue kamwe na utaweza ku enjoy benefits zake.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ndio maaaaaaana Best angu hata iweje hua havuti maskani!!!! now umenifumbua macho.
Lol, aiseeeee kweli Kaya haina sifa mbaya ila watumiaji ndio wanaipa sifa mbaya.

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
 
meditation haina shida,matumizi mabaya ama yasiyo sahihi ya meditation ndio yenye madhara,kwamfano kwenye uislamu hata zile sala ni aina ya meditation ndo maana inatakiwa utulivu mkubwa sana unaposali (ushui),hata vile visimamo vya usiku pia ni a form of meditation.ingawaje wenzetu wa budhism na taoism wameipa enphasis kubwa zaidi.

Wow!!! ni watu wachache sana wapo kama wewe..... nitaanza kujifunza na mimi, tho najua kidogo kuhusu imani zingine apart na yangu ya muslim.
ila kwa wahindu sijagusa... hiyo meditation wanasema ina mengi ya kuogofya ndani yake.

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
 
Teach me about Meditation please.

usijali rafiki,I will do my best,kuna thread nyingi humu nzuri zihusuzo meditation,za mshana jr na jamaa mmoja anaitwa rakims,anza kuzipitia taratibu
 
Oooh ngoja nizipitie.... thank you.

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
 
Nilikuwa mpenzi sana wa miziki ya Bob Marley lakini nilipotambua kuwa kumbe neno JAH kwao wanamaanisha Haile Selasie, nikaachana nayo!

Bob Mwenyewe hakufa Rasta, alibadiri dini na kuwa Mkiristo wa dhehebu la Orthodox
 
Kama watu wamekutesa sana kwa miaka mingi over (400 years), wamebadilishi jina lako, wamekwambia wewe huna history na mjinga. Na kwamba Mungu amekuumba kuwa mtumwa wetu (wazungu na waarabu) hata wewe utajaribu kutafuta historia yako, kutafuta dini nyingine ambayo haina racists people and people who want to dominate you. Unless you are stupid you will continue to accept everything you masters says without questioning their motive and authenticity of their words.

So Rastafarians concept was part means of emancipation, increase confidence, self esteem and ask his followers to be proud of black identity and their history. Just as Arabs have use Islam and European have use Christianity to achieve their goals. Rastafarian never seek to dominate others but to free themselves from other dominating them.

Unaweza kuweka evidence kwamba Bob Marley alibadilisha dini kabla ya kufa?
 
Haile Selasie yeye mwenyewe aliwaambia wazi kuwa yeye siyo Mungu wasimuabudu, hawakutaka kumuelewa!. Aliwapelekea hadi mapadri wakiothordox kule Jamaica lakini bado wakang'ang'ania kumuita yeye Kuwa ndiye Mungu.

Bob alibatizwa na kuitwa Berhane Selasie ( Light of Trinity) siku chache kabla ya kifo chake!!

Cheki hapa: au google ukitaka
Redemption Songs: The Conversion of Bob Marley | Real Life Catholic | Reminding the World of the Truth, Beauty and Power of the Gospel
 
Bado wanatumia bible ile ile ya mzungu katika mambo mengi!

Haile Selasie yeye mwenyewe aliwaambia wazi kuwa yeye siyo Mungu wasimuabudu, hawakutaka kumuelewa!. Aliwapelekea hadi mapadri wakiothordox kule Jamaica lakini bado wakang'ang'ania kumuita yeye Kuwa ndiye Mungu

Sawa bro, ni ukweli aliwaambia yeye binadamu kama wenyewe. lakini where is the evidence that Bob Marley changed his religion?

Rastafarians wanatumia bible lakini wanaitafsiri vingine kabisa. By the way bible ideas were taken from African civilization. Precisely, Ethiopian, Sudan and Egypt but that is another topic for another day.

Israelite went to egypt as one family of 70 people. The come out as nations of 600,000 people 400 years later as Israel nation.They went to Africa because they were hungry and starving and Egyptian help them to survive. Moses was born in Egypt adopted by Egyptian royal family and all his education and everything he knew, he was taught in Egypt including religion, politics, economics, culture and everything else. This is the person who wrote the first five book of the bible and greatest authority in christianity. Everything he knew, he was taught in Egypt.

Jesus grew up in Egypt for part of his life. Mohamed seek asylum / refugee status in Ethiopia when his life was in danger. And he developed his ideas from there in Ethiopia. All the greatest teachers, scientists, philosophers of Greek got their Knowledge in Africa.

By the way at that time Egypt was Colony of Ethiopia. So i don't see the problem for rastafarian going back to the root where everything started. Meaning of the word Ethiopia is Black People and Kemet as Egypt was known for thousands of years is Black Land or land of blacks. (These are names which European Greeks and Romans give these countries when they first saw people who live there and their lands). So in other word we are all Ethiopian from Kemet.

An African Origin of Philosophy: Myth or Reality? | Dr. Molefi Kete Asante
http://www.centerformaat.com/files/African_Origin_of_Civilization_Complete.pdf
http://www.thehouseofsankofa.com/books/eBook Stolen Legacy.pdf
http://thehouseofsankofa.com/books/Ivan-Van-Sertima-They-Came-Before-Columbu.pdf
 
Movement of Jah people
Halafu sisi tunasakama watu.
Dunia hii ni lazima uchanganye akili za kila aina ndio maendeleo.
Tukijibagua tutakuwa tunabomoa bila kujenga
 
Kama watu wamekutesa sana kwa miaka mingi over (400 years), wamebadilishi jina lako, wamekwambia wewe huna history na mjinga. Na kwamba Mungu amekuumba kuwa mtumwa wetu (wazungu na waarabu) hata wewe utajaribu kutafuta historia yako, kutafuta dini nyingine ambayo haina racists people and people who want to dominate you. Unless you are stupid you will continue to accept everything you masters says without questioning their motive and authenticity of their words.

So Rastafarians concept was part means of emancipation, increase confidence, self esteem and ask his followers to be proud of black identity and their history. Just as Arabs have use Islam and European have use Christianity to achieve their goals. Rastafarian never seek to dominate others but to free themselves from other dominating them.

Unaweza kuweka evidence kwamba Bob Marley alibadilisha dini kabla ya kufa?

Uko vizuri sana mkuu may the bessings of his imperial majesty be upon you

AFRICA IS THE ORIGN OF MAN AND HUMAN KIND
 
That until the philosophy which holds one race superior and another inferior is finally and permanently discredited and abandoned: That until there are no longer first-class and second-class citizens of any nation; That until the color of a man's skin is of no more significance than the color of his eyes; That until the basic human rights are equally guaranteed to all without regard to race; That until that day, the dream of lasting peace and world citizenship and the rule of international morality will remain but a fleeting illusion, to be pursued but never attained and until the ignoble but unhappy regimes that hold our brothers in Angola, in Mozambique, and in South Africa in subhuman bondage have been toppled and destroyed; until bigotry and prejudice and malicious and inhuman self-interest have been replaced by understanding and tolerance and goodwill; until all Africans stand and speak as free human beings, equal in the eyes of the Almighty; until that day, the African continent shall not know peace. We Africans will fight if necessary and we know that we shall win as we are confident in the victory of good over evil.

HIM Haile Selassie
 
Sawa bro, ni ukweli aliwaambia yeye binadamu kama wenyewe. lakini where is the evidence that Bob Marley changed his religion?

Rastafarians wanatumia bible lakini wanaitafsiri vingine kabisa. By the way bible ideas were taken from African civilization. Precisely, Ethiopian, Sudan and Egypt but that is another topic for another day.

Israelite went to egypt as one family of 70 people. The come out as nations of 600,000 people 400 years later as Israel nation.They went to Africa because they were hungry and starving and Egyptian help them to survive. Moses was born in Egypt adopted by Egyptian royal family and all his education and everything he knew, he was taught in Egypt including religion, politics, economics, culture and everything else. This is the person who wrote the first five book of the bible and greatest authority in christianity. Everything he knew, he was taught in Egypt.

Jesus grew up in Egypt for part of his life. Mohamed seek asylum / refugee status in Ethiopia when his life was in danger. And he developed his ideas from there in Ethiopia. All the greatest teachers, scientists, philosophers of Greek got their Knowledge in Africa.

By the way at that time Egypt was Colony of Ethiopia. So i don't see the problem for rastafarian going back to the root where everything started. Meaning of the word Ethiopia is Black People and Kemet as Egypt was known for thousands of years is Black Land or land of blacks. (These are names which European Greeks and Romans give these countries when they first saw people who live there and their lands). So in other word we are all Ethiopian from Kemet.

An African Origin of Philosophy: Myth or Reality? | Dr. Molefi Kete Asante
http://www.centerformaat.com/files/African_Origin_of_Civilization_Complete.pdf
http://www.thehouseofsankofa.com/books/eBook Stolen Legacy.pdf
http://thehouseofsankofa.com/books/Ivan-Van-Sertima-They-Came-Before-Columbu.pdf

Kuhusu Bob Marley kubadiri dini kutoka Urastafari hadi Ukiristo wa dhehebu la Orthodox hilo mbona ni jambo linajulikana sana, Ndiyo maana hata Misa ya Msiba wake ilisimamiwa na Orthodox Church mwanzo mwisho, Kikawaida Orthodox hawaweki misa kwa mtu asiye muumin wa dhehebu lao!

Ukitaka ukweli wa jambo hili Just google tu my friend , habari za hili jambo ziko everywhere.

Nitakuwekea link nyingine ya Padri wa kiorthodox aliye " Mkristisha" bob , akihojiwa kuhusu suala hilo:

Thanks Bro.
 
Back
Top Bottom