Ethiopia hiyoooo

Kinachonishangaza ni hao hao wa Ethiopia kukamatwa hapa bongo daily kama wahamiaji haramu wakikimbia kwao na kupita hapa kwenda SA kutafuta maisha huku afya zao zikiwa dhaifu kabisa.

Am sure hao unaowazungumzia ni WASOMALI.! Sio ethiopians
 
Bwana Ridculouz kama Ethiopia wameendelea kiasi hiki kwa nini daily waethopia wanakamatwa mara Dodoma,tanga na arusha tena kwenye viroba vya chokaa na kwenye matenga ya nyanya na wengine hadi kufa kwa kukosa hewa wakikimbia maisha MAGUMU?? Ethiopia?

Jamani hao ni WASOMALI! Sio Ethiopians..
 
Unafikiri hata ni ghali sana au kazi ngumu kujenga? Basi tu kama Waswahili walivyosema, kupanga ni kuchagua sijui?

Kwa sasa hivi sisi tumeamua na tunachagua CCM, muda ukifika hata Chadema au ATC hatutachagua ila MAENDELEO.

Wewe watu na umasikini, badala ya tuungane tuupige vita, watu wanatakakuungana kuupiga vita USHOGA.

Hatujui hadi leo kipi kianze na kipi kifuate baadaye. Kwangu mie, maendeleo kwanza na haya mengine baadaye.
 
Si kweli kuwa wanaokamatwa ni Ethiopians, majority (if not all of them) wanaokamatwa wamejificha kwenye malori kwenda sauzi ni WASOMALI!!

Uchumi mkubwa wa ethiopia unakwenda vizuri sana lakini mwananchi wa kawaida bado anasota na umasikini....

Tofauti yao na sisi ni kwamba uchumi mkubwa unakua kwenye makaratasi tu na wananchi wanabaki masikini...

Its Africa remember....
 
Bongo bado wanafikiria yale mabasi waliyosema kuzunguka Dar, yale tu yamechukua mwaka sasa na still mengine utasikia unapigwa tarehe... Walioona future washaachana na hayo wanafikiria trains, buses zinabaki kwa movement fupifupi sana
 
Yani unalalamika kuhusu dereva? hahaha! duh, we unadhani treni ikiwepo atakosa wa kuendesha?
Unafikiri bila ya kuwapeleka kozi Ulaya watakwambia hawawezi kuendesha hao, chezea mbongo wewe...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…