Dream Queen
JF-Expert Member
- Nov 4, 2015
- 8,261
- 18,261
Mambo mengine nikitafakari,I wish hata nisingexist..am sorry Mungu ila I js don't understand why
you are too conclusive..Hakuna kitu kama moto wa milele. Hizo story tu vitabu vya dini vinawaambia mambo kimafumbo au lugha ambayo ni ambiguous. Waliandika wana~sodoma na ghomorrah watachomwa moto wa milele, unataka unambie hadi leo bado wanawaka? moto wa milele ni neno ambiguous sana, linaweza kua linamaanisha unachomwa unapotea milele, tofauti na ile kufa then ukafufuliwa. Sijui kama unapata my point? Kwa lugha rahisi kabisa hakuna anayeelewa chochote kile.
Alafu dini ina complications nyingi tu, utamlaumu vipi mtu kazaliwa Pagan? mtu kazaliwa Mkristo, Muislamu? nani mkweli kati yao? Una uhakika gani maana kila moja anaamini anachokiamini ndio sahihi. In other words wote tunajifanya tunajua ila hakuna anayejua ukweli, wote tunaendaenda tu. Presence ya supernatural power yaweza kuwepo au ikawa coincidence tu, no one knows kwa kua hakuna aliyewahi experience.
Look!
Let's say unazaliwa katika familia ya wapagani (wasiojua Mungu) then unaishi maisha ya taabu na shida na vipindi vifupifupi vya raha.
Unaishi miaka kadhaa (labda 43) hivi, ukiwa umeelemewa na msongo wa mawazo unaotokana na matatizo mbalimbali, magonjwa na hussles. Then unakufa bila kujua au kusikia kuhusu Mungu.
Nawasilisha!
Look!
Let's say unazaliwa katika familia ya wapagani (wasiojua Mungu) then unaishi maisha ya taabu na shida na vipindi vifupifupi vya raha.
Unaishi miaka kadhaa (labda 43) hivi, ukiwa umeelemewa na msongo wa mawazo unaotokana na matatizo mbalimbali, magonjwa na hussles. Then unakufa bila kujua au kusikia kuhusu Mungu (Au hata kama umesikia).
Then gafla kiti cha enzi kinatokea, juu yake yupo Mungu mwenye upendo wote, mwenye uwezo wote. Anakuhukumu moto wa milele na milele kwa makosa uliyofanya ukiishi hapa duniani (ambapo napo ulikuwa na baadhi ya wema). Moto usiozimika, unounguza mara dufu ya moto wa kawaida (kwa mujibu wa vitabu vya dini). Hivi hii kitu nyie mnaelewa logic yake?
Hata binadamu tu hatujawahi kuwa na kifungo cha gerezani cha milele, iweje Mungu awe na adhabu kali namna hiyo? Can anyone tell me? I just can't understand!
Nawasilisha!
sasa hayo majibu huko yatatusaidia nini, kwanini hakuweka kila kitu waziwazi"...Wanakuuliza khabari za Roho, waambie hiyo ni ilmu yake Mwenyezi Mungu, na Ilmu mliopewa nyinyi ni kidogo sana..."
QUR'AN.
"Wanakuuliza je tukishakufa na kusagika mifupa tutarudi tena kwenye uzima?
Waambie je hawakuona mfano wa ardhi iliyokufa kwa ukame na hata mimea iliyopandwa ikanyauka yote? Kisha tukateremsha maji kutoka mawingu, ardhi ikarudi kua hai na mimea ikastawi? Hiyo ni alama tosha kwa wenye akili timamu...."
QUR'AN.
".... Hata kama tungefungua mbingu, wakawa wanapanda na kushuka (kwenda mbinguni na duniani, muda wowote) bado wangesema hakuna lolote, hiki ni kiini macho tu...."
QUR'AN.
"Wanakuuliza Kiyama kitakuja lini, waambie hivi punde tu, hiyo ni ahadi ya Mwenyezi Mungu kwa viumbe wake haina shaka ndani yake...."
QUR'AN.
Kwa hivyo ndugu zangu, mmeona kuna watu kabla yenu walikua wanauliza maswali kama haya mnaojiuliza nyinyi na pengine kuzidi wako wapi sasa hivi? Wamerudi kwa muumba wao na huko wameshapata majibu ya maswali yao,
Hivyo na wewe usiyeamini au unayeamini, ishi hivyo hivyo ukijua kua utakufa na utapata majibu ya maswali yako.
Hakuna shaka juu ya hilo.
Kwanini upo Duniani?sasa hayo majibu huko yatatusaidia nini, kwanini hakuweka kila kitu waziwazi
Look!
Let's say unazaliwa katika familia ya wapagani (wasiojua Mungu) then unaishi maisha ya taabu na shida na vipindi vifupifupi vya raha.
Unaishi miaka kadhaa (labda 43) hivi, ukiwa umeelemewa na msongo wa mawazo unaotokana na matatizo mbalimbali, magonjwa na hussles. Then unakufa bila kujua au kusikia kuhusu Mungu (Au hata kama umesikia).
Then gafla kiti cha enzi kinatokea, juu yake yupo Mungu mwenye upendo wote, mwenye uwezo wote. Anakuhukumu moto wa milele na milele kwa makosa uliyofanya ukiishi hapa duniani (ambapo napo ulikuwa na baadhi ya wema). Moto usiozimika, unounguza mara dufu ya moto wa kawaida (kwa mujibu wa vitabu vya dini). Hivi hii kitu nyie mnaelewa logic yake?
Hata binadamu tu hatujawahi kuwa na kifungo cha gerezani cha milele, iweje Mungu awe na adhabu kali namna hiyo? Can anyone tell me? I just can't understand!
Nawasilisha!
nipo ili niishi.Kwanini upo Duniani?
Ukiwa umetoka wapi mpk uje hapa Duniani kuishi?nipo ili niishi.
Nkielezea maybe hautanielewa,life can be difficult sometimesMind your language LadyRed, ni kweli unatamani usinge exist.?Kuna bongofleva mmoja aliwahi kuimba 'aliwazalo mjinga ndilo humtokea'. Hii statement ni ya kweli ktk nyanja zote.
mh bado mkuu sijakupata,, eb fafanua zaid plzEternal separation from your creator is an excruciating ordeal for your consiousness/soul as fire is for the physical body
Wapagani ni watu wasioamini dini hizi zilizopo ila wanaamini uwepo wa MunguMpagani ni mtu au watu wasioamini uwepo wake Mungu au ni mtu au watu wasioamini Dini yoyote ila wanaamini uwepo wa Mungu? Naomba kujua.
If god does not like the way I live .let him tell me not youKama ambavyo unajituma kutafuta pesa na maisha, juhudi kama hiyo ungeifanya kumtafuta Mungu utampata, utamtambua tu.
Kwa kila umma, Mungu ametuma mjumbe ili awafikishie ujumbe viumbe vyake.If god does not like the way I live .let him tell me not you
Nitumie nguvu za nn kumtafuta,
Msicho elewa kuwa hata hivyo vitabu viliandikiwa na watuKwa kila umma, Mungu ametuma mjumbe ili awafikishie ujumbe viumbe vyake.
Hili pia hulifahamu?
Kama hulifahamu soma vitabu hivi.
1. faith and progress link http://www.al-dawah.dk/boger/engelske/pdf/Faith_and_Progress.pdf
2. The true religion of God link http://www.islamreligion.com/ebooks/True-Religion-of-God.pdf
3. Quran link Al-Qur'an al-Kareem - القرآن الكريم hii ya kiswahili link Sikiliza Qurani Tukufu, Maana yake na Maelezo
Ingine ya kiswahili. Qur'ani Tukufu
Baada ya kuvisoma vitabu hivyo jipime kama unapenda kweli unavyoishi.