leodigardcyrilo
JF-Expert Member
- May 17, 2015
- 3,408
- 1,820
Kifo kina sababu zake mkuu lakini hii sababu ya dhambi haipokifupi hakuna moto wa milele. adhabu ya dhambi ni kifo.
waroma 5:12 inasema . hiyo ndiyo sababu, kama vile kupitia mtu mmoja dhambi iliingia katika ulimwengu na kifo kupitia dhambi, na hivyo kifo kikaenea kwa watu wote kwa sababu wote walikuwa wamefanya dhambi.Kifo kina sababu zake mkuu lakini hii sababu ya dhambi haipo
Kwahiyo una maana wasio na dhambi hawafi???waroma 5:12 inasema . hiyo ndiyo sababu, kama vile kupitia mtu mmoja dhambi iliingia katika ulimwengu na kifo kupitia dhambi, na hivyo kifo kikaenea kwa watu wote kwa sababu wote walikuwa wamefanya dhambi.
link If we all end up dying, what is the purpose of living?kifupi hakuna moto wa milele. adhabu ya dhambi ni kifo.
Hujitambui. Usikate tamaa, jielimishe na jiongezee maarifa.Riwaya
Hizo video wala hazina uhusiano na mada
Musa alikuta kijiti kinawaka moto lakini hakiteketei,ndio moto unao zungumziwa,moto unachomwa na kufa hufi..
Kasome vzr kaka utaelewa,hujasoma ndio maana unabisha usichokijua
Majibu yako yana uhusiano gani na mada?Hizo video wala hazina uhusiano na mada
Ah ah mwana amkaKuna mtu alikufa akafufuka na kuhadithia ile hisia aliyoipata ya kutengana na muumba wake huko jehanam. Hapakuwa na moto, bali ule utengano ulikuwa unaumiza kuliko kitu chochote unachoweza kukihisi in the physical world, alipopita 'mhusika' wa hiyo Jehanam mtu huyo aliyetengwa na muumba wake alilia kwa nguvu sana na kuita "Mungu wangu..!", "Mungu wangu...!", "Mungu wangu..!", aliita hivyo kwa mara ya idadi ambayo hata yeye hawezi kuhesabu, maana aliamini yule anaepita angeweza kumuondosha mahali pale.., na ghafla alirudi duniani...
Kama ambavyo unajituma kutafuta pesa na maisha, juhudi kama hiyo ungeifanya kumtafuta Mungu utampata, utamtambua tu.Hakika mungu km yupo basi ndio mdhambi mkubwa
Kjn wawatu kaishi maisha ya dhiki,magumu yakaraha..ajui hayo mambo ya dini bado anamtupa kwenye moto mkali wa milele
Kweli iman kitu mbaya
Hakuna ubaya kwa kunuadhibu aliyekoseaHilo swali ukiwauliza viongozi wa dini with an open mind ndio utagundua hata wao wanabahatisha.
Sana sana utaambiwa Mungu hachunguziki.
Ila hakuna cha moto wala nini,tena concept ya moto ukiifikiria sana ndio i.amfanya Mungu aonekane mbaya kumbe kuna wajanja wameipandikiza kwa lengi la kuleta hofu kwa watu.