Et Hapa Bongo. My Foot

Nchi masikini kabisa yenye matajiri wa kutisha,hii ndiyo bongoland mzee.
 
Mbona bango kwenye mlingoti hapo pembeni kama lina maandishi ya kichina vile!!!
 
Bongo kuna Lamborghini ya njano tu (DELINA)....hizo nyingine sijapata ziona! Si Bongo hii..
 
Hapa ni Bongo maeneo ya Kiwalani kwa mbaali mpenda Bia mimi naona tangazo la Safari Lager...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…