balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 16,706
- 15,445
Nasikia mmoja wa wamiliki wa kampuni hiyo aliwahi kuwa waziri wa ujenzi na hasa alisifika kwa unyapara katika kusimamia ujenzi wa barabara
Huko sawa mkuu for best of ur knowledge ila kiuhalisia ziko kampuni nyingi tu za ndani pia zafanya na zaweza fanya vyema kwenye ujenzi wa miundo mbinu na majengo, isipokuwa urasimu na figisu za wale dhamana ndio shida...
Cha ajabu hataki kujishughulisha na bei za estim kuwa juu kuliko mkandarasi yoyote na kazi anapewa,kazi ya bagamoyo msata ni mbaya mnoDu....kweli eewe ndio hujui kitu.
Mchina hakutia mguu mradi wa Msata Bagamoyo.
Kazi ilikuwa estim mwanzo mwisho, tena kwa gharama za kutisha Tshs 2bn kwa kilometa!
Ulizia Tanroads upate facts.
Hapa si chit chat.
Hapana, itakuwa hujamuelewa😀
[/QUOT
Kweli unaamini sijamuelewa mkuu?
Naomba unifahamishe ulivyomuelewa wewe
Kwaio umekariri kila mtu yupo Dsm?Kwani upo kipori mkubwa nenda mbezi mwisho kuelekea kibamba utaona picha zitakudanganya
Mkuu the likes of Becco, Jandu etc ila ziko nyingi sana hata ukipata nafasi waeza pita CRB then ukatrack moja badala ya nyingine...Unaweza zitaja mkuu.. au ndio delmonte
You’re repeating not explainingCitizenship by registration
Asiende mbali, kazi ya Tegeta Mwenge ni mbaya kwenye road pavement.Cha ajabu hataki kujishughulisha na bei za estim kuwa juu kuliko mkandarasi yoyote na kazi anapewa,kazi ya bagamoyo msata ni mbaya mno
Estim Construction Co. Ltd ni kampuni ya Kitanzania kikiongozwa na Ndugu Gire.Katika uchunguzi wangu wa miradi ya barabara nimegundua kampuni inayojulikana kama ESTIM inajenga barabara zenye ubora wa hali ya juu sana. Cha ajabu zaidi hawa ESTIM wapo vizuri sana kwenye madaraja na majengo hasa yale makubwa.
Kuna picha nimeona wanavyo jenga barabara ya Kimara kibaha kule Dar es salaam. Kilicho nivutia ni jinsi wanavyo jali mazingira kuhakikisha kwamba sehemu ambazo wameharibu uoto wakati wanajenga wanajitahidi kurudiashia uoto huo kwa kupanda nyasi na miti hata kabla barabar haijaisha kitu ambacho sinakiona kwa kampuni nyingi za kichina.
Jambo kama hilo limeonekana hasa kwa wale jamaa wanaojenga SGR pekee.
Pamoja na hayo yote hawa jamaa wanaonekana kuleta namna mpya ya ujenzi wa barabara zenye quality.
Baadhi ya barabara niliwahi kuipita ni ile ya goba jijini dar es salaam sijui kwa sasa kama bado nzima lakink kwa ujenzi ule naamini hadi sasa itakua bado imara.
Kuna wachina walipewa kujenga barabara ya bagamoyo msata, nasikia waliopoona lile bonde walikimbia , nasikia kazi iliyo fanywa na ESTIM ya kujenga badaraja katika bonde lile ni ya kutukuka.
Sijajua kampuni hii inatoka nchi gani lakini serikali inahitaji kuitambua kwa mchango wake.
Mapendekezo
Kwenye issue za madaraja waachiwe hawa jamaa.
Barabara za magari makubwa waachiwe hawa jamaa.
Majengo ya taasisi kama vyuo etc waachiwe hawa jamaa.
Nasema kutoka moyoni, sijawahi kusikia kashfa ya kazi mbovu toka hii kampuni.
Kama ipo ni ya bahati mbaya.View attachment 1118532
Estim ni Subash Patel akimgawia rafiki yake wa tangu utotoni bwana yule wa msoga na kiasi akipewa bwana huyu mnyampala wa barabara wa enzi zile ili kufanikisha mtiririko wa kazi upande wao,ila pia wapo vzr kwenye kuderiver quality,hata majengo wanaliyojenga km Aura tower ni kazi iliyo nzuri sana na pia hili la sasa hivi linaloelekea kuisha la PPF pale karibuni na mlimani cityRostam Aziz-->Caspian--Estim--Masasi Construction--Kasco Construction--Nyanza Construction
Najaribu kuota
Estim ni Subash Patel akimgawia rafiki yake wa tangu utotoni bwana yule wa msoga na kiasi akipewa bwana huyu mnyampala wa barabara wa enzi zile ili kufanikisha mtiririko wa kazi upande wao,ila pia wapo vzr kwenye kuderiver quality,hata majengo wanaliyojenga km Aura tower ni kazi iliyo nzuri sana na pia hili la sasa hivi linaloelekea kuisha la PPF pale karibuni na mlimani city
Kabla hujapinga ulipaswa ujipe wasaa japo kidogo kurudia nilichoandika......hakuna sehemu niliyoandika kuwa WANAPENDELEWANapinga kwamba estim anapendelewa.. ila kazi zake ndio zinauza hata anapata madili ya kimataifa.
Inatoka Tanzania, makao makuu yako pale Mwenge ITVKatika uchunguzi wangu wa miradi ya barabara nimegundua kampuni inayojulikana kama ESTIM inajenga barabara zenye ubora wa hali ya juu sana. Cha ajabu zaidi hawa ESTIM wapo vizuri sana kwenye madaraja na majengo hasa yale makubwa.
Kuna picha nimeona wanavyo jenga barabara ya Kimara kibaha kule Dar es salaam. Kilicho nivutia ni jinsi wanavyo jali mazingira kuhakikisha kwamba sehemu ambazo wameharibu uoto wakati wanajenga wanajitahidi kurudiashia uoto huo kwa kupanda nyasi na miti hata kabla barabar haijaisha kitu ambacho sinakiona kwa kampuni nyingi za kichina.
Jambo kama hilo limeonekana hasa kwa wale jamaa wanaojenga SGR pekee.
Pamoja na hayo yote hawa jamaa wanaonekana kuleta namna mpya ya ujenzi wa barabara zenye quality.
Baadhi ya barabara niliwahi kuipita ni ile ya goba jijini dar es salaam sijui kwa sasa kama bado nzima lakink kwa ujenzi ule naamini hadi sasa itakua bado imara.
Kuna wachina walipewa kujenga barabara ya bagamoyo msata, nasikia waliopoona lile bonde walikimbia , nasikia kazi iliyo fanywa na ESTIM ya kujenga badaraja katika bonde lile ni ya kutukuka.
Sijajua kampuni hii inatoka nchi gani lakini serikali inahitaji kuitambua kwa mchango wake.
Mapendekezo
Kwenye issue za madaraja waachiwe hawa jamaa.
Barabara za magari makubwa waachiwe hawa jamaa.
Majengo ya taasisi kama vyuo etc waachiwe hawa jamaa.
Nasema kutoka moyoni, sijawahi kusikia kashfa ya kazi mbovu toka hii kampuni.
Kama ipo ni ya bahati mbaya.View attachment 1118532
Uzalendo wa kujenga barabara zaenye kasoro?Estim Construction Co. Ltd ni kampuni ya Kitanzania kikiongozwa na Ndugu Gire.
Ni kweli kazi zake ni nzuri sana. Mwenge-Tegeta ni kati ya barabara walizojenga. Huu ndiyo uzalendo. Tuwaunge mkono.
Wrong[emoji28]Rostam Aziz-->Caspian--Estim--Masasi Construction--Kasco Construction--Nyanza Construction
Najaribu kuota
UJjuaji mwingine bana kwa hiyo pavement zina hifadhi mazingira kuliko nyasiKupanda nyasi ni kutokana na ukweli kwamba hela ya kuweka pavement za pembeni hazipo hivyo wanatumia nyasi kama mbadala wa pavement