Esther Wasira: Waliofilisi Mashirika ya Umma na Kujiuzia nyumba za umma kukiona 2015: Angalia Ch 10

agombee kata kwanza tuone kama ana ubavu sio kujipandisha kwa kutumia jina la Kiongozi wa CCM.

Es!

Nape Amegombea nini akashinda Zaidi ya kubebwa kama kifutu kwa mbereko ya babayake??
Alishindwa kaprimary ambako aligawa sahani za ubwabwa , akapewa ukuu wa wilaya asife njaa. Leo kapewa cheo cha kumsafisha mkubwa . Wewe mkubwa ulivyoshindwa ukarudi kugombea vyeo vya ubwabwa kugawa sanda unakumbuka mama walikwiba zile milioni?? haha hahaaaaaa Dada anakulaza macho utakosa ajira ya tumbo. jibu na hii iingie kwenye hesabu ya siku.
 
Huyu anafaa kwenye mambo ya urembo siyo siasa.
3.jpg

hivi ZITTO.MNYIKA.NASARI,TUNDU, SLAA n.k kwani wameshaoa???? mtazamo wangu unanipeleka mbaliiiiiii
 
Maneno mazito sana haya Dada yangu! na umempatia huyu FMES maana kweli ni mzee! umri wa miaka 52 siyo mtoto eti lakini mpaka sasa hawezi kujibu hoja kwa hoja! Napata shida sana na huyu jamaa uelewa wake uko very Low nafikiri yuko affected na kazi aliyokuwa anafanya! Anahitaji deliverance bila hivyo ni ngumu kumbadilisha!

- ha! ha! ha! ni kweli mimi siishi Majuu kwa kutunzwa na mke ndio tofauti kubwa kati yangu na wewe, na mimi sio tapeli vipi MWakyembe sio kaka yako tena siku hizi? ha! ha! ha! wale wale miaka 50 MAjuu, huku bongo hata basikeli huna! ha! ha!

Es!
 
Nape Amegombea nini akashinda Zaidi ya kubebwa kama kifutu kwa mbereko ya babayake??
Alishindwa kaprimary ambako aligawa sahani za ubwabwa , akapewa ukuu wa wilaya asife njaa. Leo kapewa cheo cha kumsafisha mkubwa . Wewe mkubwa ulivyoshindwa ukarudi kugombea vyeo vya ubwabwa kugawa sanda unakumbuka mama walikwiba zile milioni?? haha hahaaaaaa Dada anakulaza macho utakosa ajira ya tumbo. jibu na hii iingie kwenye hesabu ya siku.

- Nape amekuwa mjumbe wa NEC kwa miaka karibu 10 kabla ya kuchaguliwa kuwa alipo sasa, yaani hizi facts ndogo tu zinakupa taabu itakuwa kubwa? duh!!

Es!
 
Aliwanyima maarifa Wazee akawafunulia watoto wachanga!

- Watoto wachanga hawana maarifa njiwa, ya kuamini kwamba wanaweza kwenda makaburini kuwafukua walioua mashirika ya umma tena wengi wanatokea Mkoa wako mwenyewe, kwenye hili huna hoja sina uhakika kama unaandika mwenye hizi hoja mfu au unaandikiwa, lakini ukweli ni kwamba unahitaji kugombea hata kata kwanza tuone ubavu wako badala ya kujipaisha na jina la Kiongozi wa CCM,

- JF hakuna wachanga kuna watu wazima, hoja za wachanga ingia Muhimbili wapo kule kwenye section ya uzazi, hapa ni watu wazima! ha1 ha! ha1

tatizo lako unadhani kila mtu anafikiria ki ccm, kutoka mkoa mmoja ndio nini? Chadema hawaangalii umeyoka mkoa gani
 
- Nape amekuwa mjumbe wa NEC kwa miaka karibu 10 kabla ya kuchaguliwa kuwa alipo sasa, yaani hizi facts ndogo tu zinakupa taabu itakuwa kubwa? duh!!

Es!

Kama huko NEC kwenu kwenye kura za murhani ndio unaita kugombea kuna kuna watu kibao walikuwa viranja wa madarasa unaonaje nao wakawaweka kwenye fungu la Nape.

Kwani Ubungo alikuwa anafanya nini? Akalia ? Mwaka huu utatetea hata mvelele
 
Back
Top Bottom