Benjamin10
JF-Expert Member
- Dec 31, 2016
- 442
- 631
Ni kitu kizuri sana, Kuna kuza uchumi baadhi ya vijana wataneemeka kwa kupata ajira
ATR ni ndege za watu 80 mpaka 120 Boing 787 ni ndege kubwa za long range watu 280 mpka 330 Boing 767 ni ndege kubwa kiasi watu 240Kah! Mjuba amepaa mpaka kuwa na kampuni ya ndege!, rasa hizo ndege zina ukubwa gani, au ni vile vindege vipiga kelele anangani?
Sahihi mkuu ni mwendo wa kiberiti tu.December 9 hizo taka taka zake zilizobaki ni kiberiti tu ,labda akazifiche burundi
Kabisa ,wanakera haws waseng€ ..kama amani na utulivu ni huu wa kuua watu Kama wanyama ,kufanya ufisadi , kukandamiza haki RAIA na kufanya ushenzi wa kila aina ili kunufaisha wachache ,ni bora tupige kiberiti hii takataka yote tuanze mojaSahihi mkuu ni mwendo wa kiberiti tu.
Ni bora tuanze upya.
acheni wivu tafuteni na nyieDecember 9 hizo taka taka zake zilizobaki ni kiberiti tu ,labda akazifiche burundi