ATCL KUANZA SAFARI ZA URUSI JUNI 2025
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo, amesema kuwa Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL), linatarajia kuanza safari za ndege kuelekea nchini Urusi mnamo Juni, 2026.
Ameyasema hayo leo Mei 15, 2026 jijini Arusha...
Ndege ya Air Tanzania ya abiria na mizigo, sasa rasmi, kuanza safari ya moja kwa moja kutoka Tanzania kwenda jijini Moscow, nchini Urusi kuanzia mwishoni mwa mwezi Juni, 2026
Habari zenu Mabro
Mda mrefu sana nimekuwa namatani hii kitu sasa huu mwaka nimedhamiria kabisa niongeze hii skills ya data analysis
Ili nikitoboa hili jalamba la Degree hapa niwe vyema kote kote
Mwaka huu nimeugawanya katika quarter 4 kila quarter moja najifunza Skills moja na niliyopanga...
Kufuatia kukua kwa sekta ya Anga. Kampuni ya usafirishaji ya Esther Luxury inatarajia kuanzisha safari za ndege kwa kutumia ndege za ATR 72-600 (zipo 3) na Boeing 737 (zipo 2) na Boeing 787 (ipo 1) kutokea Julius Nyerere International airport (DAR) kuelekea Dodoma, Mwanza, Kilimanjaro, Zanzibar...
Kampuni ya Meli Tanzania (TASHICO) inawatangazia abiria na umma wote kwa jumla kuwa meli ya New Victoria Hapa Kazi Tu itaanza safari zake rasmi siku ya Alhamisi tarehe 22 Mei 2025 ikitokea Bandari ya Mwanza Kaskazini kuelekea Bandari ya Bukoba kupitia Bandari ya Kemondo.
Hivyo kampuni...
nilizoea kuamka sa 12 Leo jioni nimepigiwa simu na boss kua natakiwa niende kuanza kupanda basi anapoanzia dereva, umbali adi kumkuta dereva kilometer 20 nawaza sana.
mkiona sijibu sms mjue nimelala ili nisije chelewa
Treni iliyotarajiwa kuondoka kutoka Dar es Salaam kwenda Kapiri Mposhi, Zambia, kwa saa 9:50 jioni, bado haijaanza safari hadi saa 2 usiku, huku sababu ya kuchelewa kwao ikiwa bado haijatolewa rasmi. Kwa mujibu wa tetesi, kuchelewa huko kunaweza kuhusishwa na ukosefu wa mafuta (diesel) kwa ajili...
Habari zenu wanaJF wenzangu, ama baada ya salam ningependa kuendelea na mada yangu hapo chini.
Nianze kwa kusema kuwa dunia ina mengi, na kamwe hauwezi kuyajua kama haujaambiwa au kuyaona. Ndio maana waswahili wanamsemo wao unaosema "tembea uyaone". Hii haimaanishi kwamba utembee uyaone...
Niliskia safari zinaanza tarehe 14 basi nikamtaarifu mke wangu na watoto tunakata tiketi tarehe 14 familia nzima twende Dodoma kwa Treni Yao ya SGR ili jumatatu tule Eid Dodoma
Kituko Leo mkurugenzi kageuza Gia angani kuwa bado wanafanya majaribio hivyo safari itaishia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.