Esther Bulaya ajutia maamuzi yake

Esther Bulaya ajutia maamuzi yake

Nani wa kumshinda Bulaya? Hayupooo! Wasira atapata kura 30%
 
Nimepitapita huko hivi karibuni licha yule mzee wasira anamletea zengwe sana lakini huyo mdada atashinda sio chini ya asilimia 70
 
Anajutia!! Mmngempelka polisi?? Nasikia mumempelka Musoma
 
Nani kama mama hapo ni mama yetu, kijana mwenzetu Ester Bulaya ukawa oyeeeeeeeee
 
mkuu kama hujashtukia hii ni kwamba mtoa mada na waliocomment chini ni mtu mmoja, we jaribu kufuatilia post zingine alafu utaniambia
VIVA UKAWA!!!

katoa mada mwenyewe anachangia mwenyewe kutumwa kubaya
 
Wanaanzisha wanaitana hawa vijana wa makonda 😀😀😀😀
 
naona mmeanzisha post halafu mmeitana haraka haraka mchangie :wink::wink:
Umewagundua eeh! walivyoitana.
Si ajabu huyo ni mtu mmoja ana ID kibao anachangia mwenyewe story aliyoianzisha.
Hao ndio vijana wa lumumba street wanajifariji.
 
Back
Top Bottom