Esther Bulaya ajutia maamuzi yake

Esther Bulaya ajutia maamuzi yake

huyo mama alibugi step.....ndo shida ya kuchanganya mapenzi na kazi hiyo
 
Akome amekubari kuuzwa na Halima Mdee kirahisi badala ya kufanya research kwanza.
 
Kura yangu nitampa LOWASSA kwa kuichukia CCM.
 
Wakurya hawawez kumpa bulaya hiyo ndo tamaduni.
 
Ester bulaya na Esther matiku nawakubali Sana hawa wadada nauhakika watu WA Mara hawatafanya makosa na hivyo kuwachagua hawa wapambanaji kwa maslahi ya maendeleo Yao tofauti na hapo watalia.
Esther wassira naye anaonyesha yupo poa kiupambanaji wangempa nafasi ya ubunge chadema.
hao wazomeaji Ni mamluki wachache sio tishio kabisa.
 
Huyu bwana akishinda sijui
 

Attachments

  • 1444289181945.jpg
    1444289181945.jpg
    11.5 KB · Views: 437
Sisi Bunda tumejipanga vizuri kwa ushindi na chadema tunashinda asubuhi mapemaaaaaa, yaani saa sita tu kura zimetosha na tunaendelea na kuzilinda hadi kieleweke. Wale wa buku saba mkimbilieni dirishan halijafungwa mkachukue maana siku ndo zinaisha hivyo.
 
Bulaya na mapenzi kazini wapi na wap
 
Ushindi kwa Bulaya ni mweupe mno, Wassira hata afanye fitina vipi haisaidii kitu sasa hivi anaogopa kufanya mikutano Bunda mjini .viva ukawa
 
Back
Top Bottom