Esther Bulaya ajutia maamuzi yake

Esther Bulaya ajutia maamuzi yake

Aende akamsaidie mumewe halima mdee,maana nae maji shingoni.
 
Kwa hari ilivyo sasa,wasira kushinda ni vigumu.
Mim ni mkazi wa jimbo la bunda tena ninaishi vijijini ukiwauliza watu watakwambia watamchagua Ester,ester ana nafasi kubwa ya kushinda kuliko wasira
 
Bulaya ameingia kina kirefu. Ajute tu mjengoni harudi!!!
 
Sisi Bunda tushaamua kumpunzisha huyo mzee akapumzike mbugani na wanyama wenzie mbunge wetu ni Esther Bulaya.
 
Mm niko bunda hayo mnayoyasema sio kweli mm ni ccm hapa bunda tuna hali ngumu mzee kupita ni ngumu kwingine tuwe wakweli. Bulaya alishajitengenezea mazingira mazuri kuliko mzee maana wasira alijisahau.
 
Yani wasira alikuwa kama viti maalum na bulaya ndio wa kuchaguliwa, alijiweka karibu na jamii kama kuanzisha bulaya cup inambeba sana
 
mlete post hii naona hajui kinachoendelea. jana tu wale waliotoka chadema unaowasema walikwenda kufanya vurugu kwenye mkutano wa bulaya. nahisi ww mleta post ni mmojawapo unayeshida kwa wasira.
 
Huyo dada kachemka sana

Mim nashangaa sana watu wanakoments wakiwa kwenye keyboard,hata bunda yenyewe hawaifaham ,wana koments tu kwa ushabiki kwa kuwa tu yuko chadema, hatakama wasira amechoka ,huyo dada hawezi pata ubunge hapa bunda ,bulaya ana kikundi chake cha vijana wanaompa joto hapo nyasura ,hawazid hata 50 ,na hapa miini ,kutoshinda kwa bulaya kunatokana na aina ya jamii iliyopo hapa bunda na mzee ameshaaotesha miziz ,mapaka huko kijijini ,ambapo mzee akiwapelekea kilo tatu ya skuri basi kura anayo ,ester ,huko kijijin amna anayemfaham, na ikumbukwe kuwa cdm bunda hawapo wamoja, kwa hiyo ile team ya uongozi iliyopigwa chini ikiongozwa na PIUS yote imepewa vitendea kazi na wasira kumtafutia wasira kura na kuhakikisha bulaya hashindi kamwe ,maana waliitwa wasaliti ili hali wao ndio ameijenga chadema bunda ,mark my words BULAYA hawezi shindi hapa bunda
 
Tunaomba polisi kuanzia sasa mleta uzi pamoja na wasira na wafuasi wake wachunguzwe kujiridhisha kama hawajanunua vitambulisho. Haiwezekani mtu anakubalika halafu jitu linasema hatapita. Take care. Huyo si aliwahi kufungiwa na wananchi kwa hujuma akakombolewa na polisi? Sasa askari kuwe makini na wanapropaganda kuwavamia kinyemela na kuwachunguza you will see. Sure l'm telling you.
 
Umewagundua eeh! walivyoitana.
Si ajabu huyo ni mtu mmoja ana ID kibao anachangia mwenyewe story aliyoianzisha.
Hao ndio vijana wa lumumba street wanajifariji.

Siku hizi wana kitengo maalumu cha kushughulika na mambo kama haya. Kipo Masaki kinaongozwa na yule janki kipara
 
Back
Top Bottom