Esther Bulaya aanza kupigwa vita

Esther Bulaya aanza kupigwa vita

lakin kuna logic, tuache siasa. fifa na tff washakataza hii kitu. ijulikane kuwa ikiwa bulaya anaweza kuandaa, wasira anaweza. mnyika, zitto nk.
Mbona makalla cup mvomero haijapigwa stop?au yy sio mwanasiasa
 
ndesamburo wa chadema ndio alikuwa mwanasiasa aliyesimama frontline kumtetea babu wa loliondo. Mpaka alitoa magari yake na helkopta ipeleke watu wakapate kikombe.
Ndesa ni mfanyabiashara na wafanyabiashara huwa wanaangalia opportunities za kutengeneza pesa, ilitokea ile opportunity akaitumia ipasavyo, akamake bingo. Wewe endelea kufanya shughuli za MSALANI
 
Last edited by a moderator:
Kila kitu tukijadili kisiasa tutakuwa tunapotea... Kuna vyombo vya kusimamia michezo... apeleke huko kama kwali anamaanisha michezo
 
Mkuu wa wilaya ya Bunda amepiga marufuku michuano ya kombe la mpira wa miguu iliyodhaminiwa na Esther Bulaya ITV imeripoti.Chama cha mpira wa miguu wilayani Bunda kimeiambia ITV kimepokea barua ya kusimamisha michuano hiyo kutoka kwa mkuu wa wilaya bila sababu zozote.Akihojiwa na ITV mkuu huyo wa wilaya alisema kwa mkato viongozi wa CCM hawaruhusiwi kusimamia michuano kama hiyo.
Esther Bulaya amekuwa akipigwa vita na viongozi wa chama chake CCM na hivi karibuni amekuwa mwiba kwa chama hicho kutokana na msimamo wake wa kudai serikali 3 kinyume na msimamo wa chama chake.Pia mbunge huyo ametuhumiwa mara kadhaa kuwa anatumiwa na CHADEMA.

- Jamani hii ishu nayo ni ya siasa? Mbona imekaa kimichezo michezo au?

Le Mutuz System
 
esther bulaya nae anaropoka sana. Labda ana stress za ndoa
 
Wenyewe kwa wenyewe haina shida watayamaliza tu!😕
 
- Jamani hii ishu nayo ni ya siasa? Mbona imekaa kimichezo michezo au?

Le Mutuz System
Pamoja na hitimisho lililowekwa kwenye habari hii bado unaona michezo tu?
Hapana;Le Mutuz katika hili naona unajitoa ufahamu.
 
Pamoja na hitimisho lililowekwa kwenye habari hii bado unaona michezo tu?
Hapana;Le Mutuz katika hili naona unajitoa ufahamu.


Huyu jamaa sidhani kama ana akili timamu kwani siku zote yeye huwa anabandika vitu humu bila uhakika au la kuna mtu anamwandikia bila yeye kujuwa!
 
ndesamburo wa chadema ndio alikuwa mwanasiasa aliyesimama frontline kumtetea babu wa loliondo. Mpaka alitoa magari yake na helkopta ipeleke watu wakapate kikombe.
na magufuli, waziri wa ujenzi aliyejenga barabara ya kwenda loliondo alitumwa na nani?
 
No matter huyo nyumba Ntobhu wa Chadema ni janga kwa maendeleo ya wilaya yetu.
 
Mchezo wa mpira wa miguu unasimamiwa na chama cha mpira wa miguu na sio ccm full stop. Ccm wamezoea kuvunjika
 
Nimeona DC kagwaya mashindano yanaendelea jumatatu kama kawaida!
Kwa jinsi Wassira hasivyojitambua ajui hicho anachokifanya ni KUMPIGA TEKE CHURA kwani huwa aumii zaidi unamuongezea mwendo
 
Mbona mnaweka picha kwa upendeleo ,mwekeni shemeji akigonga kikombe cha babu
 
Kama vip esther chomoka ccm njoo chadema hilo rizee ra kusinzia risikuzengue lenyewe halihitaji maendeleo bunda nasiku rikistafu riende kuzimu bunda haturitak
 
Back
Top Bottom