Unaongea km aliyeshikiwa akili, hivi ndugai amekuwa Mungu???? As if umenyweshwa maji ya bendera???
Kuongea ni rahisi sana.Baadae huwa wanapotea tuKatika kutetea maslahi ya wengi lazima wengine tujitoe muhanga, na hili halitapita hivi hivi tutakwenda Mahakamani
ChatoWaende japo sina imani na hiyo mahakama maana bunge na mahakama vipo chini ya muhimili unaotoa pesa
Nendeeeeni haraka!Katika kutetea maslahi ya wengi lazima wengine tujitoe muhanga, na hili halitapita hivi hivi tutakwenda Mahakamani
Acha Tu waende, hata kesi ikitupiliwa mbali faida itapatikana. SI unajua hata hoja au awali ambalo wakili anauliza mahakamani na Kisha kulifuta linaacha impact?Kupoteza mda tu huko mahakamani,wanajijua kuwa wanaenda kucheza tu huko
mgonjwa yule hajitambuiWaende angalao wamtibue Ndungai awapige kifungo cha miaka 20 bila kufika karibu na jengo la bunge. Ndungai alimwambia Mnyika "Usinijaribu". Mnyika akadhani ni utani, ghafla akajikuta anatupwa nje ya jengo kama mtoto . Ester na Halima, msimjaribu Ndungai. Kishasema, ataliamsha dude na kutatokea crisis hapa nchini. Ohooo. Hamkumsikia?? Msiliamshe dude.
HawajaolewaHivi huyu "demu" na yule mwenzake wameolewa kweli..?
Mbona wewe posho kutoka kwa Bashite unazikeshea JF?Wanawake maboksa hao.
Waende wakaonyeshe ugangwe huo majimboni, ili wajue kuisoma namba haswa.
Kiki za kupoteza muda na kutamani posho tu