[emoji3] [emoji3] eti dude! Hii ndio Tanzania bhana mtoa tusi anakula bata lakini mtukanwa kapigwa ban
Uharo mtupu labda kutetea ulimbukeni wa Chadema,bungeni pana heshima yako,hawa wasichana wanataka kugeuza bunge kama ukumbi wa kitchen party,kama yalivyo mahakama kuwa hayaingiliwa na mhimili wowote hata bunge haliwezi kuamuliwa na mahakama,ujinga wao ndio matokeo yake ,hawa wamezoea na wamekuwa mfano mbaya kwa jamii ya watu wastaarabu,wakati Halima akifanya fujo ,maendeleo katika jimbo lake la Kawe yamedoda na awamu hii ni mwisho kuwa mbunge wa Kawe,Halima na shoga wake Bulaya wantia aibu,urafiki na ushoga wao wasiulete bungeni,wamekuwa kama ndio wanapevukaKatika kutetea maslahi ya wengi lazima wengine tujitoe muhanga, na hili halitapita hivi hivi tutakwenda Mahakamani
nafasi yake imeenda kwa wemaHuyo ameondolewa u first lady wa Ufipa?
Bulaya toka aingie chadema kabadilika sana tabia, umebaki uzuri wa sura tu akili imeenda na mafuriko ya lowasa!Katika kutetea maslahi ya wengi lazima wengine tujitoe muhanga, na hili halitapita hivi hivi tutakwenda Mahakamani
Bavicha wanasema hiyo sio kazi ya mbunge!Acha tu mkuu, kama huyo @halimamdee, huku BunjuB tuna swala la soko lina figisu figisu za kufa mtu, sasa sijuwi kwanini kila kukicha yeye matatani tu bungeni?! Kutafuta kiki au ana matatizo ya kufuata sheria bila shuruti?! Maana mbona wabunge wa upinzani wa kike wako wengi tu na huwa wanajenga hoja na kuwakalia kooni chama tawala bila matatizo haya?! Kuna kitu kichwani kwake naona hata Mh, Bulaya kaiga sasa..Njooni jimboni mtusaidie matatizo yetu muweze jijengea kura/kula za baadaye..
MAMA YAKO NDIYE FIRST LADYHuyo ameondolewa u first lady wa Ufipa?
Mpaka kichwa kitaota nyweleWaende angalao wamtibue Ndungai awapige kifungo cha miaka 20 bila kufika karibu na jengo la bunge. Ndungai alimwambia Mnyika "Usinijaribu". Mnyika akadhani ni utani, ghafla akajikuta anatupwa nje ya jengo kama mtoto . Ester na Halima, msimjaribu Ndungai. Kishasema, ataliamsha dude na kutatokea crisis hapa nchini. Ohooo. Hamkumsikia?? Msiliamshe dude.
Speaker ndiye anayewachagua?wakienda mahakani wakarudi na sheria za bunge zikaruhusu kufukuzwa basi ni vema spika akawafukuza jumla bungeni wasirudi tena.
Makaka poa njoeni hapa muwatetee na matusi yenu.
Wewe ni muoga Hata ukichapiwa huwezi Fanya lolote sana sana na wewe utachspwaWaende angalao wamtibue Ndungai awapige kifungo cha miaka 20 bila kufika karibu na jengo la bunge. Ndungai alimwambia Mnyika "Usinijaribu". Mnyika akadhani ni utani, ghafla akajikuta anatupwa nje ya jengo kama mtoto . Ester na Halima, msimjaribu Ndungai. Kishasema, ataliamsha dude na kutatokea crisis hapa nchini. Ohooo. Hamkumsikia?? Msiliamshe dude.