Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,243
- 34,899
nataka kujua jibu la hii query lilikuwa ni nini. hiki si kiasi kidogo cha kukiacha kipite kimya hivi hivi tu.."Mhe Mwenyekiti shirika letu la ndege kwa miaka mitatu mfululizo imetengeneza hasara ya Billioni 316 unajua ni kwa sababu gani shirika halina mpango wa kibiashara Hizi pesa zingeweza kujenga shule mia moja na kuajili walimu 1000 ccm imeishiwa pumzi
Wiki 3 zilizopita kuna shirika la ndege nchini ujerumani limefilisika liliKua linasafirisha abiria milioni 4 kwa mwaka . Sasa jawabu utalipata wewe mwenyeo .Tanzania ina ardhi kubwa Sana hio pesa ya ndege wangewakopesha wakulima matrekta basi serekali ,mkulima na wewe mungelipata faida . Hao abiria wa ndege ndo wale wanaofilisika na kufunga biashara zao na wengine wako jela sasa hizo ndege atapanda nani ?ester tangu aanze kukaa nyegezi akili imemuishia
Mheshimiwa baloziMasilingi anamwambia Lissu "Tuna madirimu laina"
Kwa kawaida inatakiwa kuanza kuhesabu faida baada ya kurudisha pesa/mtaji wote katika uwekwzaji kiongozi.Hivi unapofanya investment, unaanza kuhesabu faida baada ya kurudisha pesa yote ya investment plus running costs au kabla ya kurudisha pesa ya investment?
Aa he ujinga naye huyu alitaka likinunua ndege tu lianze kutengeneza faida? Kuna kubreak even na kisha kuanza kutengeneza profit. Mkurugenzi alisema itachukua miaka mitatu kubreak even"Mhe Mwenyekiti shirika letu la ndege kwa miaka mitatu mfululizo imetengeneza hasara ya Billioni 316 unajua ni kwa sababu gani shirika halina mpango wa kibiashara Hizi pesa zingeweza kujenga shule mia moja na kuajili walimu 1000 ccm imeishiwa pumzi
Tuchanganulie payback period ya atcl year after year for that 10yrs.Kwa kawaida inatakiwa kuanza kuhesabu faida baada ya kurudisha pesa/mtaji wote katika uwekwzaji kiongozi.
Makamanda hawajitambui. Siasa za mihemko na ushabiki zinawamaliza. Kwa shirika la ndege kama ATCL inawezekana kuanza kuiona Faida baada ya miaka 10+. Ila wapinzani wanataka kuiona faida leo leo. Hapo ndio unapata picha kamili ya hawa Wagagagigikoko.
Swedeni:Tanzania kufurika wawekezaji - JamiiForums
Kuna faida ya Serikali na ya ATCL. Tambua ATCL inalipa gharama za ukodishaji serikalini kwa hiyo inawezekana serikali ndio imepata faida.Basi ile faida ilikuwa chumaulete
Jr
Kwa Hesabu za Bulaya alizopiga naamini ata Dangote atakuwa hajapata faida mpaka leo tangia aanzishe kile kiwanda cha cement pale Mtwara."Mhe Mwenyekiti shirika letu la ndege kwa miaka mitatu mfululizo imetengeneza hasara ya Billioni 316 unajua ni kwa sababu gani shirika halina mpango wa kibiashara Hizi pesa zingeweza kujenga shule mia moja na kuajili walimu 1000 ccm imeishiwa pumzi
Chadema wanapenda hisabati Ila hesabu hawajui. Hawajui apportionment wala nn, wakiona schedule yake wanajua ni hasara
Hiyo 10+ niliandika kama mfano tu. inaweza kuwa zaidi ya hapo. Wewe pia unaweza kuchangua hiyo payback period ya ATCL kwa kuchukua Total investment ya ATCL ukakokotoa na annually positive cash flow itakusaidia kupata Payback period ya ATCL.Tuchanganulie payback period ya atcl year after year for that 10yrs.
kote hakufai