Mkuu, hawa makamanda wengi humu ni empty sets. Yaani ni bora wabaki kwenye safu yao kumpigia zumari Mhaini Tundu kuliko kuchanganua mambo haya ya kitaalam.Kuna faida ya Serikali na ya ATCL. Tambua ATCL inalipa gharama za ukodishaji serikalini kwa hiyo inawezekana serikali ndio imepata faida.
Esther Bulaya hana uelewa hata wa faida ya mahesabu ya Bajaj kwa wiki achilia mbali kuchambua Payback period ya kampuni kama ATCL.
Huwa wanapenyeshewa makabrasha na kupayuka bila kufanya research.