Ester Bulaya: Shirika letu la ndege kwa miaka mitatu mfululizo imetengeneza hasara ya Billioni 316. Hizi pesa zingeweza kujenga shule mia moja

"Mhe Mwenyekiti shirika letu la ndege kwa miaka mitatu mfululizo imetengeneza hasara ya Billioni 316 unajua ni kwa sababu gani shirika halina mpango wa kibiashara Hizi pesa zingeweza kujenga shule mia moja na kuajili walimu 1000 ccm imeishiwa pumzi

Esther Bulaya walau angekuwa kasoma commerce na bookkeeping kwenye O'level angefahamu kitu kinaitwa breakeven point.

Siku zote biashara yoyote ukifungua, lazima ijiendeshe kwa hasara mpaka itakapo ku-breakeven. Tokea hapo biashara inaanza kutengeneza faida.

Basically, Esther anatakiwa afahamu kuwa shirika la ndege linatoa huduma ili ku-support biashara zingine zikue kama vile utalii, watu kuokoa muda kufanikisha biashara zingine. Tunapovutia wawekezaji, ni aibu mgeni atoke Ulaya na ndege halafu toka dar kuja Mwanza au kwenda Mbeya apande bus au kukodi gari. Thamani ya muda kwenye biashara ni kubwa sana.

Ni vema Esther a-focus kwenye taaluma yake ya uandishi wa habari, tungeona ufanisi. Anapodandia biashara na uchumi, ni vema akae chini na kujifunza kabla ya kuja na kick za bei nafuu
 
Is TZS 316 billion cash loss or accrual loss? I understand provision for maintenance of engine, body and landing gears is among major expense for airline and is done pro rata using flight hours since last maintenance
 
Walioanzisha kibatari na kukitembeza nchi nzima Mungu anawaona. Naona kama kinapumbaza akili za watu.
Haya yote yanatokea bado anaitwa mzalendo mchapakazi.
Huyu hasara kaanza kutuletea tangu akiwa Nyapara wa samaki mpaka barabara.
Ukiwa ni mtu wa kukaa mbele ya laptop yako utaona kama analeta hasara, lakini ukiwa mtu wa kutembea Tanzania nzima na kuona jinsi inavyobadilika, huwezi kuongea porojo kama hizo ulizoziandika.
 
Esther Bulaya walau angekuwa kasoma commerce na bookkeeping kwenye O'level angefahamu kitu kinaitwa breakeven point.

Siku zote biashara yoyote ukifungua, lazima ijiendeshe kwa hasara mpaka itakapo ku-breakeven. Tokea hapo biashara inaanza kutengeneza faida.

Basically, Esther anatakiwa afahamu kuwa shirika la ndege linatoa huduma ili ku-support biashara zingine zikue kama vile utalii, watu kuokoa muda kufanikisha biashara zingine. Tunapovutia wawekezaji, ni aibu mgeni atoke Ulaya na ndege halafu toka dar kuja Mwanza au kwenda Mbeya apande bus au kukodi gari. Thamani ya muda kwenye biashara ni kubwa sana.

Ni vema Esther a-focus kwenye taaluma yake ya uandishi wa habari, tungeona ufanisi. Anapodandia biashara na uchumi, ni vema akae chini na kujifunza kabla ya kuja na kick za bei nafuu
Naamini Esther a me refer kwenye taarifa za mahesabu za ATCL. na tujue huwezi kubreak even kama unatengeneza hasara kwenye biashara yako.naamini inafaa uwe unapata faida ambayo inalipa investment cost ambapo ukimaliza ndio unabreak even hapo ndio unaanza kuenjoy profit.kama tunafanana na scenario ya jirani zetu wa kaskazini magharibi inabidi tufanye marekebisho kwenye biashara yetu hii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom