Ester Bulaya: Shirika letu la ndege kwa miaka mitatu mfululizo imetengeneza hasara ya Billioni 316. Hizi pesa zingeweza kujenga shule mia moja

Hahaha huwa nacheka sana nikisikia kuna mapokezi ya ndege na watu wanafanya kabisa kusimamisha shughuli eti kwenda kupokea ndege.

Kiujumla ni kuwa hakuna kinachofanyika zaidi ya hasara tu. Nilishasema hili shirika litakufa tena kifo kibaya. Ambae haamini aweke hii kumbukumbu.

Gharama za uendeshaji na pesa inayoingia ukiweka difference ni -ve. Ni hasara tupu. Huwezi kurusha ndege ya abiria 100 kutoka Dar kwenda Mwanza ikiwa na watu 10 utegemee kupata faida. Never.
 
"Mhe Mwenyekiti shirika letu la ndege kwa miaka mitatu mfululizo imetengeneza hasara ya Billioni 316 unajua ni kwa sababu gani shirika halina mpango wa kibiashara Hizi pesa zingeweza kujenga shule mia moja na kuajili walimu 1000 ccm imeishiwa pumzi
nataka kujua jibu la hii query lilikuwa ni nini. hiki si kiasi kidogo cha kukiacha kipite kimya hivi hivi tu..
 
Hivi unapofanya investment, unaanza kuhesabu faida baada ya kurudisha pesa yote ya investment plus running costs au kabla ya kurudisha pesa ya investment?
 
ester tangu aanze kukaa nyegezi akili imemuishia
Wiki 3 zilizopita kuna shirika la ndege nchini ujerumani limefilisika liliKua linasafirisha abiria milioni 4 kwa mwaka . Sasa jawabu utalipata wewe mwenyeo .Tanzania ina ardhi kubwa Sana hio pesa ya ndege wangewakopesha wakulima matrekta basi serekali ,mkulima na wewe mungelipata faida . Hao abiria wa ndege ndo wale wanaofilisika na kufunga biashara zao na wengine wako jela sasa hizo ndege atapanda nani ?
 
Chadema wanapenda hisabati Ila hesabu hawajui. Hawajui apportionment wala nn, wakiona schedule yake wanajua ni hasara
 
Hivi unapofanya investment, unaanza kuhesabu faida baada ya kurudisha pesa yote ya investment plus running costs au kabla ya kurudisha pesa ya investment?
Kwa kawaida inatakiwa kuanza kuhesabu faida baada ya kurudisha pesa/mtaji wote katika uwekwzaji kiongozi.
Makamanda hawajitambui. Siasa za mihemko na ushabiki zinawamaliza. Kwa shirika la ndege kama ATCL inawezekana kuanza kuiona Faida baada ya miaka 10+. Ila wapinzani wanataka kuiona faida leo leo. Hapo ndio unapata picha kamili ya hawa Wagagagigikoko.

Swedeni:Tanzania kufurika wawekezaji - JamiiForums
 
"Mhe Mwenyekiti shirika letu la ndege kwa miaka mitatu mfululizo imetengeneza hasara ya Billioni 316 unajua ni kwa sababu gani shirika halina mpango wa kibiashara Hizi pesa zingeweza kujenga shule mia moja na kuajili walimu 1000 ccm imeishiwa pumzi
Aa he ujinga naye huyu alitaka likinunua ndege tu lianze kutengeneza faida? Kuna kubreak even na kisha kuanza kutengeneza profit. Mkurugenzi alisema itachukua miaka mitatu kubreak even
 
Kwa kawaida inatakiwa kuanza kuhesabu faida baada ya kurudisha pesa/mtaji wote katika uwekwzaji kiongozi.
Makamanda hawajitambui. Siasa za mihemko na ushabiki zinawamaliza. Kwa shirika la ndege kama ATCL inawezekana kuanza kuiona Faida baada ya miaka 10+. Ila wapinzani wanataka kuiona faida leo leo. Hapo ndio unapata picha kamili ya hawa Wagagagigikoko.

Swedeni:Tanzania kufurika wawekezaji - JamiiForums
Tuchanganulie payback period ya atcl year after year for that 10yrs.

kote hakufai
 
"Mhe Mwenyekiti shirika letu la ndege kwa miaka mitatu mfululizo imetengeneza hasara ya Billioni 316 unajua ni kwa sababu gani shirika halina mpango wa kibiashara Hizi pesa zingeweza kujenga shule mia moja na kuajili walimu 1000 ccm imeishiwa pumzi
Kwa Hesabu za Bulaya alizopiga naamini ata Dangote atakuwa hajapata faida mpaka leo tangia aanzishe kile kiwanda cha cement pale Mtwara.

Labda ata ofisi ndiyo maana wanahofia kujenga kisa watapata hasara
Chadema wanapenda hisabati Ila hesabu hawajui. Hawajui apportionment wala nn, wakiona schedule yake wanajua ni hasara
 
Tuchanganulie payback period ya atcl year after year for that 10yrs.

kote hakufai
Hiyo 10+ niliandika kama mfano tu. inaweza kuwa zaidi ya hapo. Wewe pia unaweza kuchangua hiyo payback period ya ATCL kwa kuchukua Total investment ya ATCL ukakokotoa na annually positive cash flow itakusaidia kupata Payback period ya ATCL.
Kila la kheri.
 
18 Reactions
Reply
Back
Top Bottom