Estar Bulaya aachiwa huru

Ipo siku haya yote yatakwisha hawawezi kuzishinda nguvu za wakati,muda ukifika utajieleza.
 
Pole dada easter ukombozi wa nchi unahitaji jasho jingi sana.
 
Kwa hiyo nguvu yote waliyotumia POLISCCM, hadi wamekodi ndege kumsafilisha mpaka Dar imeishia kujidhamini mwenyewe, polisi oneni aibu, mbinu hizo ni za kizamani oneni aibu.
 
Kwa hiyo nguvu yote waliyotumia POLISCCM, hadi wamekodi ndege kumsafilisha mpaka Dar imeishia kujidhamini mwenyewe, polisi oneni aibu, mbinu hizo ni za kizamani oneni aibu.
Kodi ya Watanzania hapo imeliwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…