sergio 5
JF-Expert Member
- May 22, 2017
- 8,678
- 9,374
Naomba uwe mlinzi wanguasante kaka
Naomba uwe mlinzi wanguasante kaka
Mlinzi yani kama bodyguard maana nakuona upo kwenye nyuzi za kijasusi sanaboyfriend wangu ananitosha.
Inawezekana hata uliye naye ni shughuli, ila hujui, au hata mama yako anaweza akawa yupo kitengo halafu anapika vitumbuaMie nataka kudate na Mdada shushushu au Mpelelezi
Wewe endelea kumwaga tu upupu, halafu uone utakavyoanza kukuwasha mwenyewe, ndipo utajua maana ya lile neno aliloliongea mkuu wa kaya kwamba MNAWASHWA WASHWA, ila huwa wanakamatwa kimya kimya kama ambavyo kitengo chenyewe cha kimya kimyaSamahani hii ID ni sawa sawa na verified user ina majna yangu yote kamili kwa hiyo sipo tayari kueleza chochote zaidi ya nilichoandika wajbu wako kufuatilia habari hzo
Hv humu tunafahamiana kweli¿???naona watu wanawashwa washwa kutoa details zenye kuwaweka matatani, Be carefull mkuu!!!Kingine jaribu kurekebisha aina yako ya uulizaji you are so direct to an event hata recruit wa mgambo ukimuulza hivyo atapata shaka
Mchumba tumbo yule, mi mkidhani amenukuliwa na Kagame, si alienda kule then ndio akarudi na spidi zote mpaka kuwa. Mwenyekiti kwa nguvu za sizonjeKwani yule Fulani wa CUF sio spy?
Teh teh teh,asante
Jamani nilimaanisha jamaa nilijua amenukuliwa na kagame amfanyie ujasusi wa kiuchumi, karudi na kuchukua uenyekiti Kwan nguvu ya sizonjeMchumba tumbo yule, mi mkidhani amenukuliwa na Kagame, si alienda kule then ndio akarudi na spidi zote mpaka kuwa. Mwenyekiti kwa nguvu za sizonje
Hahahahaaaayou mean Bashite ni kama deep cover spy Mkuu wa Wakuu wa Mikoa?
Mkuu, acha kumtisha mwenzioUoga wa nin..... jiachie ushalikoroga malizia nione kama lina uzito nikutie nguvuni..... kama la kisee... nikuache..
Jifanye jiwe nikukute police post na full story... utaisaidia police kwa namna moja ama ingine
Yani katika mashushushu ambao wanajua kazi zao.ni wanawake...wako pro kinyama! Hata.barmaid anaekufungulia bia muangalie vizuri...Mie nataka kudate na Mdada shushushu au Mpelelezi
Nilisha date na mmoja she was very smart..Yani katika mashushushu ambao wanajua kazi zao.ni wanawake...wako pro kinyama! Hata.barmaid anaekufungulia bia muangalie vizuri...
Kwenye ndoa ni mipango, kama una vitu vya kulazimisha kuoa shushu bhas itatokea tu automatically.Nilisha date na mmoja she was very smart..
Sasa natafuta wa kuoa kabisa
Sawa mkuuKwenye ndoa ni mipango, kama una vitu vya kulazimisha kuoa shushu bhas itatokea tu automatically.
Kila mtu ni mjanja...tunatofautiana tu kiwango.Sawa mkuu
Ila ni wajanja wajanja sana!!
AhahahahahaKila mtu ni mjanja...tunatofautiana tu kiwango.
Ha ha ha...wanasemaga ulipo lala ndio nilipo amka.Ahahahahaha
Au tuseme tuna zidiana muda wa kutenda jambo?