msakaa jr
JF-Expert Member
- May 18, 2017
- 6,506
- 6,719
Mkuu, kitu gani kimekufanya udauti uraia wa baadhi ya wanaomzunguka Rais.Labda kuna kitu umekiona, hebu tujeze na sisi mkuuAcha kuandika vitu usivyo vielewa kabla hujafanya uchunguzi wa kina. Hata Ulaya kulikuwa na manual. Mambo ya kutumia computer au wewe unaita Data Base hayana mda mrefu sana ulimwenguni kwa ujumla. Enzi za 80's au mwanzoni mwa 90's nchi nyingi za Europe zilikuwa bado manual kama unavyodai.
Chanzo cha network ni FBI na CIA Amerika kama njia moja wapo ya ku communicate kwa siri ili warusi wasielewe nini kinaendelea.
Kitu wazungu wametushinda ni discipline ya kazi zao. Ukiingia katia nchi zao unakuwa registered. Yaani unakuwa katika system hapo huna ujanja. Sisi bado tuko katika ape stage kiutawala na kimaisha. Na watanzania ndiyo kabisaaa!
Hii nchi kila mmoja anaingia na kuondoka anavyotaka. Halafu tunajidai eti tuna usalama na amani. Tuna usalama wakati wananchi wengi hawako katiaka system na haijulikani wamezaliwa wapi na lini. Na sijui kama watu wote wanao mzungunguka Rais wetu ni watanzania halisi. I doubt!
Sent using Jamii Forums mobile app
mafisadi hayana rangi