Espionage Specialists: Majasusi wanagunduliwa na kukamatwa kwa namna na njia gani?

Huku inakua ngumu sana Cause spy wengi wa nchi mbali mbali wanakuja nchi za Africa kwa njia mbali mbali,Mifano ma-volunteer wa Peacecorps,JICA,KOICA(baadhi ni spy), wengine wapo vyuoni kama exchange students,Wengine vyuoni kama invited/guest professors (kwenye hili rejea kitabu cha cheche).

Kwa mazingira hayo huku inakua ngumu kuwadaka na pili hata wakidakwa haitangazwi.
 
View attachment 557753

CNN na hata BBC wamekuwa wakionesha mashushu wa mossad wanavyoshtakiwa Iran. Wale wa FSB ya Russia wanakamatwa na kurudishwa Urusi ama kufungwa marekani.

Mimi dada yenu na urembo na umri wangu huu sijawahi kusikia katika vyombo vya habari eti kuna mtu hapa Africa amekamatwa na kushatakiwa eti kwa kufanya kosa la kufanya ujasusi (espionage)

Hawa spies ina maana hawakamatwi ama wakimatwa wanarudishwa nchini mwao?

Yours faithfully,

Girl Next-door,

Nawasilisha.
sasa urembo wako unahusiana vipi na hii mada?
 
Huku inakua ngumu sana Cause spy wengi wa nchi mbali mbali wanakuja nchi za Africa kwa njia mbali mbali,Mifano ma-volunteer wa Peacecorps,JICA,KOICA(baadhi ni spy), wengine wapo vyuoni kama exchange students,Wengine vyuoni kama invited/guest professors (kwenye hili rejea kitabu cha cheche).

Kwa mazingira hayo huku inakua ngumu kuwadaka na pili hata wakidakwa haitangazwi.
Hapo umesema. Mtu kama wewe unapaswa kulisaidia taifa letu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
View attachment 557753

CNN na hata BBC wamekuwa wakionesha mashushu wa mossad wanavyoshtakiwa Iran. Wale wa FSB ya Russia wanakamatwa na kurudishwa Urusi ama kufungwa marekani.

Mimi dada yenu na urembo na umri wangu huu sijawahi kusikia katika vyombo vya habari eti kuna mtu hapa Africa amekamatwa na kushatakiwa eti kwa kufanya kosa la kufanya ujasusi (espionage)

Hawa spies ina maana hawakamatwi ama wakimatwa wanarudishwa nchini mwao?

Yours faithfully,

Girl Next-door,

Nawasilisha.
Thanks for this good topic
 
~Majasusi wa nchi jirani wiki kadhaa mbele
~Huyu Girl next door huyu
~Majasusi wa nchi jirani walikamatwa kwa bahati mbaya(Mhhhhh,,,,,,,,,,,,!!!!!!?????)
~Tunahitaji mfumo imara wa counter intelligence (Huko mimi siwajui hao watu (
 
mimi huwa nashangaa sana Serikali inaruhusu watalii kuingia bila kuwa na data base ya watu hawa,kufahamu mipango yao.
hawa wamerkani wanaokuja kutoa misaaada sijui kujitolea sio wa kuwaamini.
Kuna mmoja nilikutana nae kwenye ndege nilikuwa naongea nae. Nikamwambia anitafute na simu hii na email tukifika,wala hakufanya hvyo. Alikuwa anawasiwasi wakti tunaongea.
 
Ata mimi naona kuwa ni ngumu....sana kukamata hao watu wenzetu wanafedha....matajiri...wanaubeba uchumi wetu hivyo ata ikitokea tukawakamata tutawarudisha na tutawaomba msamaha kwa kuwasumbua.
 
Samahani hii ID ni sawa sawa na verified user ina majna yangu yote kamili kwa hiyo sipo tayari kueleza chochote zaidi ya nilichoandika wajbu wako kufuatilia habari hzo
Uoga wa nin..... jiachie ushalikoroga malizia nione kama lina uzito nikutie nguvuni..... kama la kisee... nikuache..

Jifanye jiwe nikukute police post na full story... utaisaidia police kwa namna moja ama ingine
 
View attachment 557753

CNN na hata BBC wamekuwa wakionesha mashushu wa mossad wanavyoshtakiwa Iran. Wale wa FSB ya Russia wanakamatwa na kurudishwa Urusi ama kufungwa marekani.

Mimi dada yenu na urembo na umri wangu huu sijawahi kusikia katika vyombo vya habari eti kuna mtu hapa Africa amekamatwa na kushatakiwa eti kwa kufanya kosa la kufanya ujasusi (espionage)

Hawa spies ina maana hawakamatwi ama wakimatwa wanarudishwa nchini mwao?

Yours faithfully,

Girl Next-door,

Nawasilisha.
Kazi ya kukamatwa majasusi ni ngumu
 
Back
Top Bottom