Espionage Specialists: Majasusi wanagunduliwa na kukamatwa kwa namna na njia gani?

Wewe endelea kumwaga tu upupu, halafu uone utakavyoanza kukuwasha mwenyewe, ndipo utajua maana ya lile neno aliloliongea mkuu wa kaya kwamba MNAWASHWA WASHWA, ila huwa wanakamatwa kimya kimya kama ambavyo kitengo chenyewe cha kimya kimya
Kuna tofaufi gani kati ya nilichoandka na ulichoandika???Wewe tuliza mshono bwana mdogo
 
Uoga wa nin..... jiachie ushalikoroga malizia nione kama lina uzito nikutie nguvuni..... kama la kisee... nikuache..

Jifanye jiwe nikukute police post na full story... utaisaidia police kwa namna moja ama ingine
Unasemaje wee lofa,,,,,mse,,,,,mama yako,,,https://jamii.app/JFUserGuide u a whore njoo bas twende central kahaba wewe
 
Kpnd ulivyokuwa waandika upuuzi wako ulikuwa unatafuta bwana???Jiangalie bwana mdogo vitisho mkawatishe wajinga wenzenu na usije ukautafuta umaarufu kwa kuropoka nguruwe wewe
Sawa mzee wa kaya...
Ikikata handas nitakujibu....

Najua sio ubongo wako... hauwez kuongea umaku kirahisi hivi.... choko

Sent from "La -Vista"
 
Sawa mzee wa kaya...
Ikikata handas nitakujibu....

Najua sio ubongo wako... hauwez kuongea umaku kirahisi hivi.... choko

Sent from "La -Vista"
Kama unatafuta bwana katika hii forum kwa kuleta shobo za kishoga basi huyo basha utampata na utaliwa chuku chuku kwa mtungo
 
deep cover inategemea.Sometimes you just need to be you and know your targets. Hata kama itachukua miaka as long as kuna milestone towards that target. Hawa cia wanaweza kuwa na gadget za kila aina lakini ukae ukijua ni rahisi sana kukamatwa kuliko kuwa old school; page nzima umehifadhi kwenye kichwa au kuzungumza lugha without accent au kuwa na uwezo ambao wengi hawana hao ndio true spies of all time. Kingine spies haitaji kuwa na silaha kama wengi wanavyofikiria.Just as simple as you could be.
Point
 
Hapa waliwahi kuwakamata wale majasusi wa C.I.A pale arusha mwaka 2010 kama sijakosea tena ilikuwa usiku huku wanakamatwa ila ni kimya kimya
Mkuu mambo mengne sio ya kusema...humu kaka.
Mkuu, toa story kamili. Ilikuwaje na Arusha sehemu gani...na kama ulisikia sikia viashiria vilivyosababisha kukamatwa kwao hadi kujulikana ni CIA..

Sent from my Device.
 
Huwa wanakamatwa kwa kusosea mahesabu yao kidogo tu na mara nyingi hukamatwa na wenzao wa upande wa pili au kwa usaliti na mmoja wao katika timu

Mfano mzuri tafuta kuna riwaya moja humu inaitwa Ufukwe wa Madagascar utajifunza kitu.
 
Back
Top Bottom