VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,140
- 18,004
Sikukuu ya wajinga stanbic ni weziNina hofu na trh ya mwisho yaani 1_4 kila mwaka ni ckk ya....... fanyen baadae ama kabla ya hiyo trh maana naogopa ujumbe wa ukweli kuchukuliwa powa
Sema tu familia ya Jakaya Kikwete, unaogopa nin?Hapo kuna list ya ikulu sio mchezo
Hadi wale wa mil.80 hela ya matibabu
Nimepenyezewa taarifa na mnene mmoja wa Stanbic kuwa Viongozi waandamizi wa Stanbic Bank huko majuu wanakaribia kuchafua tena hewa ya nchi.Waandamizi hao wameagiza kuanikwa kwa majina ya waliochota malumbesa ya fedha za Escrow. Wamewaagiza wakuu wa hapa Tanzania kuhakikisha ifikapo Aprili mosi mwaka huu,majina hayo yawe public pamoja na mihamala yao ili kusafisha taswira ya Stanbic.
Ukisikia kusafisha hapa na kuchafua pale ndio huku.Siombi hilo litokee.Hawa wa Mkombozi Bank aka wa Rugemalira wametuhenyesha hivi.Wa Stanbic itakuwaje? Stanbic Bank,please and please, re-think and re-decide. Tumechoka!
Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam

Tujiandae kwa misiba ya viongozi, pressure haitawaacha!