Senator Hans
JF-Expert Member
- Jul 22, 2016
- 599
- 377
Yaaan wewe Unatetea wizi wa CCM how much they pay YOU ????Angeweza kama angepata Support. Kila kukicha ni kumkashifu,kumvunjia heshima, kudharau, kumdhalilisha kumtukana n.k Halafu eti unataka afukue vya mtangulizi wake kwa watu wasio na shukrani kama ninyi. Naamini na yy ameona ninyi si wa kuwakimbilia. Unafikiri nani atakuwa mfariji wake. Mimi nahakika Magu angeweza kufanya yasiyotarajiwa kwa kuwa ana uthubutu ila ss anamfanyia nani? Ss tuliowanafiki hata shukrani hatuna. .ili akikorofishana na wenzake tukae tumcheke. ..peleka huko upuuzi wako !!
nakubaliana nawe,huyu mzee ni facilitater,au analobby kwenye makorido ya ofisi za serikali,haya mambo ya kufanya lobbying yapo hata washington na dunia nzima kwa ujumla,na pesa huwa inatumika kulobby mawaziri,masenetor ili fulani apate kandarasi etc,sema huku kwetu inaweza kuitwa rushwa na ufisadiKuwa mbia sio lazima uchangie pesa tu. Kwenye nchi za wenzetu unaweza kuwa shareholder kwa kuchangi Tenchology, Expertise, na kadhalika.
Hapa Africa wenzetu wanapewa shares na makampuni ya nje kwa ujasiri wao wa ku facilitate mambo kwa kutumia bahasha za kaki. Mfano, wanataka kampuni kusamehewa kodi, kukwepa kodi, kiwanja,kuwaminya other business rivals hapo ndipo wanapotoa mchango wao.
Hata kwenye ile kampuni yetu ya mawasiliano mchango wao wa kupewa shares utakuwa ni huu.
Ila wewe jamaa uchama umekufanya uwe zuzu... Yani unamuonea huruma Magu? HahahahahaMagufuli hadi namuonea huruma kiukweli kama atagusa huu moto !!
Kwa maelezo yako tuu,huyu jamaa Ruge umamjua kindakindakimwinyi hakuleta IPTL mkuu,unajua kipindi kile mwaka 1995 yalikuwepo maongezi kati ya nchi zinazoendelea na zile nchi za tiger economy kushirikiana kiuchumi ili kuepukana na unyonyaji wa nchi za magharibi,enzi hizo kiongozi wa malasysia ndo alikuwa kama rule model ya kuitoa malay katika umasikini na kuwa nchi ya viwanda,mojawapo ya zao la maongezi hayo mwaka 1996 mwinyi akiwa tayari kashaachachia madaraka ndo kina ruge akaingia ubia na kampuni la malaysia la mechmar,hili kampuni linatengea boiler na pia power plant,wakaungana na Ruge na kuunda kampuni iliyoitwa IPTL,
KAMPUNI YA NJE ILI IWEKEZE ILIKUWA LAZIMA ISHIRIKIANE NA MZAWA,
ndo huyo Ruge akatoa kiwanja,kama mchango wake,mechmar wakachukua mkopo bank za malasia na kununua mitambo 10 ya kuzalisha umeme,mkopo ulikuwa dola milioni 100,
wakaleta mitambo na kuisimika katika plot ya Ruge,
hadi inafika mwaka 1998 ,IPTL haijaanza uzalishaji na mwinyi hakuwepo.
Sijasema waziri Tibaijuka ndo alimpa kiwanja Ruge,kwani kipindi mitambo inajengwa tibaijuka alikuwa bado yuko UN
Hapo itabidi tu he takes the high road and pick one...and if "the talks contradict one another", what is he supposed to do. Mfano: one of his "talks" ni kulinda wastaafu ili waishi kwa amani (hata kama watu watachoooonga namna gani), sasa unadhani endapo hili sakata kuna mstaafu japo mmoja, atawezaje kusimamia misingi miwili inayopingana?
Umemsahau:Mzee Mwanakiji,MsemajiUkweli!
Nilikua napitia comments za watu kimya kimya, lakini hii imenifanya niwaze kwa sauti na kucheka, ni comment fupi lakini imebeba hoja nzito. Naendelea na safari ya mapitio.Akigusa moto huuu najiunga CCM kumpiga Tafu
hapa prof. naona giza kinene1) Anatafutwa Gavana Prof. Ndulu, 2) kodi kutoka kwa Singa Singa 3) Pesa itakayopatikana ni ya Bombardier nyingine..!! Its a smart movements ila hawa jamaa wanajua kucheza siajabu tukaambulia manyoya!!
Bora umeandika alishinda tender ya ''trioni 54'' nitakusamehe bure, lakini ungekuwa umeandika trillion 54 ungekiona cha moto!Wewe unamjua Ruge au unamsikia kwenye vijiwe Ruge huyu aliyekuwa ameshinda zabuni yaujenzi wa bandari ya bagamoyo trioni 54 unasema alipagawa na bilion 76?
Ruge huyu anayemiliki jengo la gorofa 12 katikati ya mji tena posta unamuita alipagawa na hiyo pesa we umjui Ruge wewe Ruge anayeishi kwenye Nyumba ya kifahari south Africa tena Johannesburg?
Fanya utafiti kuhusu huyu bepari mkuu
Hizi ndiyo akili za mtanzania sasa unayemtegemea asogeze gurudumu la maendeleo ya nchi mbele kwa mawazo haya, unadhani hizo hela zilizopotea ni za wapinzani? Au inaingia mifukoni mwao? Think critically.Nyie wote mnaojifanya eti ' oh magu sijui atalifukua hili sakata ' Mumuache raisi wetu kama alivyo. Afanye kwa ajili ya nani wanafiki ninyi. Kila kukicha mnamwombea mabaya. Kwanza tulivyokuwa tunanyonywa ni sawasawa kwa mi jitu yenye roho mbaya kama ninyi. Ss hivi ndiyo mnajidai kuona uchungu wa escrow. Halafu mnamtaka magu afukue lililolala. ..Hata ningekuwa mimi nisingefanya.
Mnamwita majina mabaya eti dictator. ..dictator huku unamtukana halafu unatembea barabarani?
Ukiangalia hizo Kiki za eti kutaka kuonyeshwa kwenye t.v mara tufanye mikutano. Hivi hivyo vyote vinauzito kiasi gani kulinganisha na Mapambano ya kuinua uchumi wetu.
Mi nasema hivi ninyi ni mazombi wote mnaomtukana na kumkashifu raisi wakati huo huo mkimtaka achukue hatua kwenye kashfa ya escrow!
Hakika. Kwenye Biblia wanasema kuwa 'msipoongea nitayaamsha mawe kuongea' (unofficial quote).
Mobutu answered (1990s) about corruption in Congo: If you want to steal, steal a little in a nice way. But if you steal too much to become rich overnight, you'll be caught. (my signature)
Hii nchi hamuiwezi....... ni kukubali kukojoa na kwenda kulala tu... basi.
Nope, ila read the synopsis.Thubutu! Hawezi fanya lolote
Unakumbuka ile filamu ya zamani WHERE EAGLES FEAR TO TREAD?
Hi umenielewa au unakurupuka naona wewe ndiye zuzu unajua chama changu wewe?Ila wewe jamaa uchama umekufanya uwe zuzu... Yani unamuonea huruma Magu? Hahahahaha
Sinaga chama Mimi chama changu ni Tanzania na kusema ukweliIla wewe jamaa uchama umekufanya uwe zuzu... Yani unamuonea huruma Magu? Hahahahaha