ESCROW sio siri tena, mambo yote hadharani

Tatizo la hili DUDE liitwalo ESCROW kila mtu aliyekuwa kwy SYSTEM alionjeshwa utamu wake hivyo hakuna wa kugusa dude hili! ?
 
Hakuna chochote kitakachotokea katika sakata hili la ESCROW chini ya Utawala huu, Zaidi ya Gavana Ndulu wa BOT kutoswa au Engineer Mhando wa TANESCO Kutoswa ili kufunika Kombe kama issue ya Lugumi ilivyoishia kwa Kitwanga kutoswa ili kupotezea mambo.

ESCROW ni kina kirefu sana kwa Ngosha, hata mdomo wake anaweza usifungie kulizungumzia hilo.
 
Hii nzuri.... Maamuzi magumu yanatakiwa hapa....!!!
Kwa kuwa mkuu tuliye naye "anaaminika" kwa kuchukua maamuzi magumu kwa maslahi ya taifa, na ni mpeni wa Mungu, nina hakika hili atalishughulikia tu ipasavyo. Ila kama wastaafu alioahidi kuwalinda wanahusika, itakuwa mtihani mkubwa kwake.
 
Wewe unamjua Ruge au unamsikia kwenye vijiwe Ruge huyu aliyekuwa ameshinda zabuni yaujenzi wa bandari ya bagamoyo trioni 54 unasema alipagawa na bilion 76?
Ruge huyu anayemiliki jengo la gorofa 12 katikati ya mji tena posta unamuita alipagawa na hiyo pesa we umjui Ruge wewe Ruge anayeishi kwenye Nyumba ya kifahari south Africa tena Johannesburg?
Fanya utafiti kuhusu huyu bepari mkuu
 
huu mfupa unaweza ukamshinda
But if he goes after this, he leaves a legacy, kwamba kweli he walks the talk- kuhusu kupambana na ufisadi, and people might actually disregard his inaction on the lugumi scandal
...and if "the talks contradict one another", what is he supposed to do. Mfano: one of his "talks" ni kulinda wastaafu ili waishi kwa amani (hata kama watu watachoooonga namna gani), sasa unadhani endapo hili sakata kuna mstaafu japo mmoja, atawezaje kusimamia misingi miwili inayopingana?
 
Itakuwa patashika nguo kuchanika maana yeye mwenyewe hana usafi hata chembe na Urais unaweza kufikia kikomo kabla ya miaka mitano hivyo ataendelea kuuchuna tu kimyaaaa ili aepushe kuibuliwa Ikulu mzima mzima.

huu mfupa unaweza ukamshinda
But if he goes after this, he leaves a legacy, kwamba kweli he walks the talk- kuhusu kupambana na ufisadi, and people might actually disregard his inaction on the lugumi scandal
 
Fisadi papa mbona ana nyumba za kifahari tena zaidi ya tano lakini hamgusii ata kidogo???
 
Humjui kabisa Rugemalira na umeishia kuandika uongo juu yake. IPTL ilihengwa wakati wa Rais Mwinyi hivi i kweli usemayo kuwa Tibaijuka alikuwa ni waziri ambaye alimpa kiwanja wakati huo?
mwinyi hakuleta IPTL mkuu,unajua kipindi kile mwaka 1995 yalikuwepo maongezi kati ya nchi zinazoendelea na zile nchi za tiger economy kushirikiana kiuchumi ili kuepukana na unyonyaji wa nchi za magharibi,enzi hizo kiongozi wa malasysia ndo alikuwa kama rule model ya kuitoa malay katika umasikini na kuwa nchi ya viwanda,mojawapo ya zao la maongezi hayo mwaka 1996 mwinyi akiwa tayari kashaachachia madaraka ndo kina ruge akaingia ubia na kampuni la malaysia la mechmar,hili kampuni linatengea boiler na pia power plant,wakaungana na Ruge na kuunda kampuni iliyoitwa IPTL,
KAMPUNI YA NJE ILI IWEKEZE ILIKUWA LAZIMA ISHIRIKIANE NA MZAWA,
ndo huyo Ruge akatoa kiwanja,kama mchango wake,mechmar wakachukua mkopo bank za malasia na kununua mitambo 10 ya kuzalisha umeme,mkopo ulikuwa dola milioni 100,
wakaleta mitambo na kuisimika katika plot ya Ruge,
hadi inafika mwaka 1998 ,IPTL haijaanza uzalishaji na mwinyi hakuwepo.

Sijasema waziri Tibaijuka ndo alimpa kiwanja Ruge,kwani kipindi mitambo inajengwa tibaijuka alikuwa bado yuko UN
 
Hawezi kukata tawi alilokalia
Angeweza kama angepata Support. Kila kukicha ni kumkashifu,kumvunjia heshima, kudharau, kumdhalilisha kumtukana n.k Halafu eti unataka afukue vya mtangulizi wake kwa watu wasio na shukrani kama ninyi. Naamini na yy ameona ninyi si wa kuwakimbilia. Unafikiri nani atakuwa mfariji wake. Mimi nahakika Magu angeweza kufanya yasiyotarajiwa kwa kuwa ana uthubutu ila ss anamfanyia nani? Ss tuliowanafiki hata shukrani hatuna. .ili akikorofishana na wenzake tukae tumcheke. ..peleka huko upuuzi wako !!
 
untouchable at its finest!
 

Hongera kwa kuonyesha upuuzi wako. Unajua ni nani kamuweka hapo alipo? Ungejua usingeandika upuuzi wote huo.
 
uko sahihi mkuu
 

Alikuwa amewahi kukamata shilingi ngapi?
 
Kuwa mbia sio lazima uchangie pesa tu. Kwenye nchi za wenzetu unaweza kuwa shareholder kwa kuchangi Tenchology, Expertise, na kadhalika.

Hapa Africa wenzetu wanapewa shares na makampuni ya nje kwa ujasiri wao wa ku facilitate mambo kwa kutumia bahasha za kaki. Mfano, wanataka kampuni kusamehewa kodi, kukwepa kodi, kiwanja,kuwaminya other business rivals hapo ndipo wanapotoa mchango wao.

Hata kwenye ile kampuni yetu ya mawasiliano mchango wao wa kupewa shares utakuwa ni huu.
 
yule mzee ni dalali mzuri sana kumbe hata ishu ya bandari ya bagamoyo yumo?,
ila si wanajenga wachina na oman,ila yeye anajua kuupepeta mdomo,nadhani ndo coordinator ya shughuli nzima.
Hebu taja vitega uchumi vikubwa anavyomilki huyu babu,iwe hapa Tanzania ama south africa,ukiachia VIP
 
Nyie wote mnaojifanya eti ' oh magu sijui atalifukua hili sakata ' Mumuache raisi wetu kama alivyo. Afanye kwa ajili ya nani wanafiki ninyi. Kila kukicha mnamwombea mabaya. Kwanza tulivyokuwa tunanyonywa ni sawasawa kwa mi jitu yenye roho mbaya kama ninyi. Ss hivi ndiyo mnajidai kuona uchungu wa escrow. Halafu mnamtaka magu afukue lililolala. ..Hata ningekuwa mimi nisingefanya.
Mnamwita majina mabaya eti dictator. ..dictator huku unamtukana halafu unatembea barabarani?
Ukiangalia hizo Kiki za eti kutaka kuonyeshwa kwenye t.v mara tufanye mikutano. Hivi hivyo vyote vinauzito kiasi gani kulinganisha na Mapambano ya kuinua uchumi wetu.
Mi nasema hivi ninyi ni mazombi wote mnaomtukana na kumkashifu raisi wakati huo huo mkimtaka achukue hatua kwenye kashfa ya escrow!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…