Mkuu, yaelekea una hasira sana na JK. Na huu ndio ujinga wa wafuasi wa chadema ambao wanadhani kuwa Tanzania inaongozwa kwa amri ya mtu mmoja tu
Hivi ni shilingi ngapi zilizokuwepo kwenye account ya Tegeta ESCROW na ngapi zilichotwa? Nimesoma ripoti ya CAG inasema bilion 203 ndio zilikuweno na hizo ndizo zilichotwa. Magazeti mengine yanasema bilioni 306, mengine bilioni zaidi ya 300, Kubenea naye anasema bilioni 321, nani mkweli?
Wizi wa Kikwete unavunja rekodi zote za wizi kwani ni skandali baada ya skandali: Deep Green, Richmond, EPA, Escrow na Vibali vya sukari bila kudharau mabomu ya Mbagala na Ukonga. Mbona Majanga tena Majanga!
Muhongo hawajibishwi kwa sababu anajua mengi na hana matani na nimsema kweli. Aidha wamfukuze amwage kila kitu hadharani au wammalizie ili wawe salama.
Kwani kwenye ripoti ya CAG na TAKUKURU kuna mahala amehusishwa Rais KIKWETE?
Wakumuua Muhongo wajiandae kumla Nyama, Mara nzima itaamia hapo magogoni. wasifikiri makabila yote ni wajinga wajinga.
Mkuu hizi safari za Ulaya akae nazo chonjo si unajua yaliyotaka kumpata Mkono huko Ulaya.
Najua CCM ukweli ni sumu kali sana na hautakiwi kabisa, lakini huo ndo ukweli Muhongo ni ngoma nzito. CCM ni aidha wasuke au wanyowe hawana njinsi.
Kwani kwenye ripoti ya CAG na TAKUKURU kuna mahala amehusishwa Rais KIKWETE?
Werema amesamehewa kwa sababu alikubali kuondoka mwenyewe huu Tibaijuka ameshakuwa mbuzi wa kafara
Waandishi wengi wa bongo ni waandishi njaa mtu kama kubenea huwa hajui hata anachokifanya zaidi ya kuandika kwa chuki dhidi ya watu asiopatana nao.Hivi ni shilingi ngapi zilizokuwepo kwenye account ya Tegeta ESCROW na ngapi zilichotwa? Nimesoma ripoti ya CAG inasema bilion 203 ndio zilikuweno na hizo ndizo zilichotwa. Magazeti mengine yanasema bilioni 306, mengine bilioni zaidi ya 300, Kubenea naye anasema bilioni 321, nani mkweli?
Unaweza kunieleza kuwa werema aliiba kiasi gani kwenye hiyo ac?Kasamehewa na nani???? huyu kaombwa kuepusha balaa,mwizi anasamehewa toka lini ONLY IN TZ!!!!
Kahusishwa na nani au wewe ndiyo unamhusisha kwani nani au ripoti gani imemhusisha.Yeye amehusishwa kwenye waliokwapua mabilioni stanbic kwa mifuko ya salfet(rejea bwana NGURUMO)
Unawezaje kutekeleza maamuzi ya wabunge ambao miongoni mwao wamehongwa na mafisadi kushambulia watu hata wasiokuwa na hatia.Kama Tanzania haiongozi na amri ya mtu mmoja, kwa nini maazimio ya Bunge yanapuuzwa na majumuisho yake kupotoshwa na mtu mmoja?
Unajua kwamba Bunge linatuwakilisha wananchi na sio Rais?
Wakati anasema ataibadilisha kigoma kuwa Dubai tulikubaliana naye kwenye ndoto hizo si mapepo yake ya uwongo mwenyewe.
Kahusishwa na nani au wewe ndiyo unamhusisha kwani nani au ripoti gani imemhusisha.
Acha bangi wametoa kiasi gani mnavuta bangi mnakaa kutaja majina ya watu pasipo sababu za msingi jk hawezi kufanya jambo kwa mashinikizo wa kihuni ya watu wanaoongozwa na wafanyabiashara wezi.Muhongo , Maswi, Ndulu na bosi wao Kikwete kwa kushirikiana na Singasinga ndio waliotoa fedha za escrow hivyo wao ndio wanatakiwa kuwajibika. Huo ndio ukweli mweupe!
Unawezaje kutekeleza maamuzi ya wabunge ambao miongoni mwao wamehongwa na mafisadi kushambulia watu hata wasiokuwa na hatia.
Kamati ya PAC imejaa wahuni wala rushwa kama zitto na kundi lake ambao kwao ufisadi ni kama maji wabunge wengi mule ni wahuni wa kawaida tu mtu kama sugu,lema,mkono au mpina hata zitto unategemea walete nini cha maana kama siyo ujinga.