HAHAHAHAAAA!!!! naona mke mdogo umeamua kumjibia.. bas poaaa!! ila nakushauri na wewe uwe na huyu mumeo karibu ili umsaidie kushikilia mlingotiUsilete ukibaka wako hapa kamtishe yule demu wako ambaye pia ni mtoto wa shangazi yako lakini huwezi kuja kumtisha mtu mzima na utashi wake hapa jf kwenda zako.
KONYOOOOOO!!! Mfyuuuuuuuu!!!! labda mkamtumikie kiporo wenu MUONGO na CHENGE ............nina zenuEndelea kusubiri hapo hapo usiondoke siye tunakwenda na jk kuendelea kuwatumikia watanzania wanaoipenda nchi yao.
RAIS Jakaya Mrisho Kikwete, anahaha kujiokoa na kashfa ya ukwapuaji wa mabilioni ya shilingi katika akaunti ya Escrow, ndani ya Benki Kuu (BoT).
Mpango wa sasa, ni kuwakamata baadhi ya waliopewa fedha na James Rugemalira, mmoja wa wamiliki wa IPTL ili kuzima mjadala.
Profesa Anna Tibaijuka, mbunge wa Muleba Kusini (CCM), yumo katika orodha ya wanaotakiwa kufikishwa mahakamani wakati wowote wiki hii.
Tayari Prof. Tibaijuka amehojiwa zaidi ya mara moja na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana Rushwa (TAKUKURU), kuhusu Sh. 1.6 bilioni alizopewa na Rugemalira.
Mkakati wa kumfikisha mahakamani Prof. Tibaijuka, unasukwa kwa ustadi mkubwa na waziri mmoja mwandamizi katika serikali ya Rais Kikwete.
Watanaka Prof. Tibaijuka apelekwe mahakamani kwa hoja kuwa, kwa hadhi aliyonayo kimataifa, sakata zima la Akaunti ya Tegeta Escrow litakuwa limezimwa, anaeleza mtoa taarifa.
Anasema, Lakini nataka nikuhakikishie, kitendo hicho kitasababisha tatizo kukua. Rais Kikwete anafahamu fika Harbinder Singh Sethi wa IPTL kuwa alitokea ikulu kabla ya kukwapua mabilioni ya shilingi kutoka akaunti ya Escrow.
Anasema, Ni vigumu kwa Rais Jakaya Kikwete kufanikiwa kujitenga na kashfa ya ukwapuaji wa zaidi ya Sh. 321 bilioni zilizochotwa katika akaunti ya Tegeta Escrow.
Kiasi cha Sh. 321 bilioni zilikwapuliwa kutoka akanti ya Escrow ndani ya Benki Kuu (BoT), kati ya Septemba na Novemba 2013; na Prof. Tibaijuka alipewa Sh. 1.6 bilioni na mmoja wa waliokuwa wabia katika kampuni ya kufua umeme ya IPTL.
Taarifa zinasema, anayejiita na kuitwa na serikali kuwa ni mmiliki mpya wa IPTL/PAP, Harbinder Singh Sethi, aliletwa nchini na mmoja wa wanafamilia wa Rais Kikwete.
Taarifa zinasema, wanaoshinikiza Prof. Tibaijuka kufikishwa mahakamani wanajenga hoja mbili. Kwanza, kwamba hatua hiyo italegeza msimamo wa wahisani wa kuinyima misaada Tanzania; na kwamba kelele zote za ndani zitakuwa zimezimwa.
Pili, hatua ya kumfikisha mahakamani waziri huyo wa zamani wa ardhi, kutasaiidia kumkingia kifua waziri wa nishati na madini, Prof. Sospeter Muhongo na kuzima mjadala bungeni.
Rais Kikwete alimfuta kazi Prof. Tibaijuka katika mkutano wa Wazee wa Dar es Salaam, tarehe 23 Desemba 2014.
Inaelezwa kuwa singasinga alikutana na rais, ikulu jijini Dar es Salaam; na kutoka hapo alikwenda kukwapua mabilioni ya shilingi BoT hata bila kumfahamisha Rugemalira mbia mwenzake.
Taarifa zinasema, sasa rais anashinikizwa kumfukuza Prof. Tibaijuka kutoka Kamati Kuu (CC) ya CCM na baadaye kumfikisha mahakamani kwa madai ya wizi na utakatishaji wa fedha.
Kupatikana kwa taarifa kuwa serikali ya Rais Kikwete inapanga njama za wizi kwa kupeleka baadhi ya waliochotewa fedha na Rugemalira, kumekuja wiki tatu baada ya Kikwete kudai kuwa fedha katika akaunti ya Escrow, hazikuwa za umma.
Akihutubia wanaoitwa, Wazee wa Dar es Salaam, katika ukumbi wa Diamond Jubilee, Rais Kikwete alisema, mabilioni ya shilingi katika akaunti ya Escrow yalilipwa kwa PAP baada ya Mahakama Kuu kutoa amri tarehe 5 Septemba 2013.
Akaunti ya Escrow ilifunguliwa ili kusubiri kumalizika kwa mgogoro kati ya Tanesco na IPTL, uliohusu madai ya udanganyifu katika uwekezaji; na hata gharama za kuweka mitambo Capacity Charge ambavyo vilifanywa na kampuni hiyo ya kigeni.
Kampuni ya IPTL ni muungano wa kampuni mbili VIP Engineering and Marketing Limited ya James Rugemalira, iliyokuwa ikimiliki asilimia 30 ya hisa na MECHMAR ya Malaysia iliyokuwa na asilimia 70 za hisa.
mliompigia kura jk jipimeni akili zenu...
Makosa ya wakosaji, CCM haihusiki kamwe.
Kakudanganya nani kuwa fedha zile ni za moto? Nakuhakikishia hakuna mwanasiasa atakayepelekwa mahakamaniWanasheria mje mtusaidie..hili suala la mtoaji na mpokeaji rushwa liko vipi?Au Rugemalira ali act kama AGENT wa PCCB kuwatembezea za moto kina Tiba?
Muhongo anawaumiza sana kichwa. Na mtaumia sana mwaka huuKONYOOOOOO!!! Mfyuuuuuuuu!!!! labda mkamtumikie kiporo wenu MUONGO na CHENGE ............nina zenu
Mkuu, vitisho vipo wapi? Au umetishika na porojo za akina Kubenea?mbona uzi unavitisho
Even me i have passion with my country shida watu hawataki kuambiwa ukwel.Et una ona kuna loop hole huzib s mwishowe nn kinatokea so rahis kuambiwa hawawajibishe watu si kana kwamba watu hawaipend nchi au wana west time thats wrong.Endelea kusubiri hapo hapo usiondoke siye tunakwenda na jk kuendelea kuwatumikia watanzania wanaoipenda nchi yao.
Nani kamuandama Tibaijuka?Mi naona km hamuelewi sakata zima lilivo,kwa nn tibaijuka anasakamwa? Jua ripot ya CAG,na kamati ya bunge alaf fata hotuba ya rais mwisho km ni muelewa utaelewa. Asante
hiviii unadhani mwaka huu ni nani wa kuumia kama si wewe na mabwana zenu mafisadi...Muhongo anawaumiza sana kichwa. Na mtaumia sana mwaka huu
Mwalimu Nyerere alijiweka mbali na Wahaya na Wachaga. Alijua ni watu wachafu
Nenda kasome Money Laundering act 2006
Tibaijuka alipokea rushwa, bila kujali "undani" wa fedha alizopokea. Watu wanachanganya kitendo cha kupokea rushwa na chanzo cha fedha zilizotumika. Hivi ni vitu viwili tofauti. Je unamaana kuwa kama fedha alizopokea Tibaijuka zisingekuwa zimetoka kwenye akaunti ya escrow, basi ingekuwa ethical kwake kupokea fedha hizo? Au TAKUKURU wasingenyanyua bendera kuashiria kuwa kiongozi kapokea mlungula kinyume cha sheria?
Ona huyu nae mpaka rangi kucha sinza,inamaana wewe husikii wala hauoni,au tukuweke kwenye kundi la watu maalumu?,mana inaonyesha dish lako linayumba datta reading error!!!
Kucheka chekaKwani wewe maamuzi unayoona ya Rais ni maamuzi gani?