CHENGU MANURE
JF-Expert Member
- May 26, 2015
- 914
- 566
Mimi huwa najiuliza mtu mwenye akili timamu anawezaje kuamini theory za Charles Darwin kuhusu evolution maana karibu zote zimeprove failure hata kwa scientists wenzie.Na kwa miaka hii zote zimekuwa old school.
Watu wa dini waliojaa ghadhabu na hasira, ni bora ya walevi kumi.
wakristo wengi wanaamini kuwa mpangilio wa matukio katika kitabu cha "mwanzo" ni scientifically accurate...si kweli
hauhitaji professor wa fizikia kutambua makosa yaliyomo katika kisa hicho cha uumbaji
mfano,mwanzo 1:3-5
"Mungu akatenga nuru na giza,mungu akaiita nuru mchana,na giza akaliita usiku"
uwepo wa mchana na usiku unategemea uhusiano wa vitu viwili,jua na dunia
lakini kulingana na biblia,jua pamoja na nyota zote ziliumbwa siku ya nne(ref;mwanzo 1:14-19)
sasa usiku na mchana vilikujaje siku ya kwanza?
mwanzo 1:9-13
Mungu anaumba majani,miche itoayo mbegu na miti katika siku ya tatu
kwa utashi wa kawaida tu,hakuna mmea unaoweza kuishi bila photosynthesis.Mojakati ya requrements muhimu ya photosynthesis ni mwanga wa jua,lakini jua liliumbwa siku moja
baadae
mwanzo 1:14-19
Mungu anaumba mianga(chazo cha mwanga) miwili mikubwa yaani mwezi na jua,kisha mwezi utawale usiku
lakini mwezi hautengenezi mwanga wake bali unaakisi mwanga unaotoka kwenye jua
wakristo mnahitajika hapa tafadhali!
wakristo wengi wanaamini kuwa mpangilio wa matukio katika kitabu cha "mwanzo" ni scientifically accurate...si kweli
hauhitaji professor wa fizikia kutambua makosa yaliyomo katika kisa hicho cha uumbaji
mfano,mwanzo 1:3-5
"mungu akatenga nuru na giza,mungu akaiita nuru mchana,na giza akaliita usiku"
uwepo wa mchana na usiku unategemea uhusiano wa vitu viwili,jua na dunia
lakini kulingana na biblia,jua pamoja na nyota zote ziliumbwa siku ya nne(ref;mwanzo 1:14-19)
sasa usiku na mchana vilikujaje siku ya kwanza?
Mwanzo 1:9-13
mungu anaumba majani,miche itoayo mbegu na miti katika siku ya tatu
kwa utashi wa kawaida tu,hakuna mmea unaoweza kuishi bila photosynthesis.mojakati ya requrements muhimu ya photosynthesis ni mwanga wa jua,lakini jua liliumbwa siku moja
baadae
mwanzo 1:14-19
mungu anaumba mianga(chazo cha mwanga) miwili mikubwa yaani mwezi na jua,kisha mwezi utawale usiku
lakini mwezi hautengenezi mwanga wake bali unaakisi mwanga unaotoka kwenye jua
wakristo mnahitajika hapa tafadhali!
How can somebody give you experimental result in JF. If you have locked your mind not to listen views of your teachers who are now converted.
Nazidi kujiuliza kama unaielewa hata Principle ya RELATIVITY ya EINSTEIN. Maana majibu yako yanaonyesha einstain ulimsoma wikipedia.
labda nikurahisishie swali, are the believer of bing bang theory, what is your belif/belief system?
Lengo ni kupata angle nzri ya kubadilishana maarifa
are you really normal bro?
relativity theory,either special or general has nothing to do with this stuff here
if you have offered a link of the so called ex-evolutionist,how can you fail to give me another link which has experimental result?
What i demand from you is result and not experiment itself
by the way,you shock me,can you tell me even single difference between someone who knew about Einstein through wikipedia and the one who knew him from his insructors?
no matter where you have found the information,if it valid there is no problem on that.
mkuu MANURE, I accept "big bang theory" despite it's failure is some situation..
You are saying that you accept the big bhang theory even though you know its a lie? Is this a joke?
You are saying that you accept the big bhang theory even though you know its a lie? Is this a joke?
mkuu MANURE, I accept "big bang theory" despite it's failure is some situation..
anayekufundisha hayo was was a university proffessor teaching what you now belief.
Hivi wewe wa wapi?
Ulitaka nijibuje?
Hapa tunaongelea uwepo wa Mungu siyo dini.
Dini na Mungu ni vitu viwili tofauti.
Belief is part and parcel of philosophy.
Its simply metaphysics.
Usipende kurukia mambo yasiyo kuhusu wewe,
Wanawake wenzako wanakuwa hadi Makamu wa raisi wewe unakuja kuvamia watu USIOWAJUA.
UMEVURUGWA WEWE.
MOFO.
please,refer to Evolution theory sir.Econometrician!