Errors in genesis

Errors in genesis

einstein newton

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2015
Posts
1,969
Reaction score
2,684
Wakristo wengi wanaamini kuwa mpangilio wa matukio katika kitabu cha 'mwanzo' are logically consistent, Hi si kweli

Hauhitaji professor wa fizikia kutambua makosa yaliyomo katika kisa hicho cha uumbaji

Mfano,mwanzo 1:3-5
"Mungu akatenga nuru na giza, Mungu akaiita nuru mchana, na giza akaliita usiku"

uwepo wa mchana na usiku unategemea uhusiano wa vitu viwili,jua na dunia
lakini kulingana na biblia,jua pamoja na nyota zote ziliumbwa siku ya nne(ref;mwanzo 1:14-19)

sasa usiku na mchana vilikujaje siku ya kwanza?

mwanzo 1:9-13

Mungu anaumba majani,miche itoayo mbegu na miti katika siku ya tatu

kwa utashi wa kawaida tu,hakuna mmea unaoweza kuishi bila photosynthesis.Mojakati ya requrements muhimu ya photosynthesis ni mwanga wa jua,lakini jua liliumbwa siku moja
baadae

mwanzo 1:14-19

Mungu anaumba mianga(chazo cha mwanga) miwili mikubwa yaani mwezi na jua,kisha mwezi utawale usiku

lakini mwezi hautengenezi mwanga wake bali unaakisi mwanga unaotoka kwenye jua

wakristo mnahitajika
 
Kwanza angalia vizuri quatation ya chapter na verses kuna jambo unachanganya. Lakini ukitaka kuona maajabu jiulize kuku na yai lipi lilianza ukipata jibu. Utajua kwa nini jua, nyota, viumbe vingine vimeumbwa kwa kufuata logic ya mtengenezaji na sio logic yetu baada ya uwepo wa vitu hivyo.

Kingine kama we muumini mzuri chapter 1 hadi 7 ya kitabu cha mwanzo kuna mambo hata science imeshindwa kuyaweka bayana,hivyo yanaachwa kama yalivyo
 
wakristo wengi wanaamini kuwa mpangilio wa matukio katika kitabu cha "mwanzo" ni scientifically accurate...si kweli

hauhitaji professor wa fizikia kutambua makosa yaliyomo katika kisa hicho cha uumbaji

mfano,mwanzo 1:3-5
"Mungu akatenga nuru na giza,mungu akaiita nuru mchana,na giza akaliita usiku"

wakristo mnahitajika hapa tafadhali!

Hiyo kitu ni supernatural.
 
Sikutegemea kama bado kuna watu wanatatizwa na egg-chicken-problem

anyway yai ndiyo kitu cha kwanza kwasababu ya recombination of gene
lakini hapa si mahala pake

kuhusu point yako ya logic,
Rules of inference ni universal hakuna ya muumbaji wala ya muumbwa

Huwezi kuwa na effect kabla ya cause,that is self evident fact

Hauwezi kupata usiku na mchana,bila ya jua na dunia

Ukisema kitabu cha mwanzo kipo sahihi,basi hutakuwa timamu kwasababu Genesis is devoid of rationality
 
Kwanza angalia vizuri quatation ya chapter na verses kuna jambo unachanganya. Lakini ukitaka kuona maajabu jiulize kuku na yai lipi lilianza ukipata jibu. Utajua kwa nini jua, nyota, viumbe vingine vimeumbwa kwa kufuata logic ya mtengenezaji na sio logic yetu baada ya uwepo wa vitu hivyo.

Kingine kama we muumini mzuri chapter 1 hadi 7 ya kitabu cha mwanzo kuna mambo hata science imeshindwa kuyaweka bayana,hivyo yanaachwa kama yalivyo

Ni kosa na haifai kuacha kitu kama kilivyo, jukumu la binadamu ni kuwaza pasipo limit, na kutatua matatizo yake yanayomface akiwa hapa duniani. Dini za wazungu zinazuia watu kufikiri ndio maana hata wewe na wengine wengi hamuoni tatizo kuacha kitu kama kilivyo. Haya mambo ya kiimani ni mtu binafsi na akili zake, ngumu sana kuelewana, unaweza elezea Sikh nzima MTU asikuelewe jambo jepesi.

Dini ni laana, zimeletwa na binadamu kwa madhumuni ya waletaji, hivyo yatupaswa kuzikataa.
Pctr speaks louder and is well understood
 
Attachments

  • 1449336447519.jpg
    1449336447519.jpg
    23.4 KB · Views: 1,135
Dini ni imani tu..lakini kisayansi si kweli kabisa

upo sahihi mkuu!
kila kitu katika dini hukubaliwa kwa imani

lakini kuna vitu vingine vipo wazi kabisa
kwanini tuamini kitu ambacho logically hakipo?

story yote ya uumbaji kulingana na kitabu cha mwanzo na flawed kwasababu haina scientific basis.
 
wakristo wengi wanaamini kuwa mpangilio wa matukio katika kitabu cha "mwanzo" ni scientifically accurate...si kweli

hauhitaji professor wa fizikia kutambua makosa yaliyomo katika kisa hicho cha uumbaji

mfano,mwanzo 1:3-5
"Mungu akatenga nuru na giza,mungu akaiita nuru mchana,na giza akaliita usiku"

uwepo wa mchana na usiku unategemea uhusiano wa vitu viwili,jua na dunia
lakini kulingana na biblia,jua pamoja na nyota zote ziliumbwa siku ya nne(ref;mwanzo 1:14-19)

sasa usiku na mchana vilikujaje siku ya kwanza?

mwanzo 1:9-13

Mungu anaumba majani,miche itoayo mbegu na miti katika siku ya tatu

kwa utashi wa kawaida tu,hakuna mmea unaoweza kuishi bila photosynthesis.Mojakati ya requrements muhimu ya photosynthesis ni mwanga wa jua,lakini jua liliumbwa siku moja
baadae

mwanzo 1:14-19

Mungu anaumba mianga(chazo cha mwanga) miwili mikubwa yaani mwezi na jua,kisha mwezi utawale usiku

lakini mwezi hautengenezi mwanga wake bali unaakisi mwanga unaotoka kwenye jua

wakristo mnahitajika hapa tafadhali!

That's your own making! What Christians believe is that biblical narratives are inspired and may not necessarily be factual (explaining what exactly happened eg God fashioning Adam from the earth and Eve from Adam's ribs), but theological (explaining what's behind the narrative - that we come from him). If we read that God created the world in six days and rested on the seventh, it doesn't mean he followed the calendar we have today because at the time he created there was no calendar (no Monday-Sunday). It's also the case that the narratives are not necessarily in a chronological order, but are arranged according to themes.
 
Hiyo kitu ni supernatural.

supenatural kivipi mkuu?,kila kitu kipo wazi
kitabu cha mwanzo kimeandikwa kwa kufuata misingi ya nadharia za zamani ndiyo maana kimejaa makosa

kwa mfano,Mungu alimuumba adam kwa udongo,

umeshawahi kujiuliza kwanini alitumia udogo?

kulingana na four elements theory ya aristotle,udongo/soil ni basic element

lakini four element theory ni toothless kwa sasa baada ya idea ya dalton.
 
Ni kosa na haifai kuacha kitu kama kilivyo, jukumu la binadamu ni kuwaza pasipo limit, na kutatua matatizo yake yanayomface akiwa hapa duniani. Dini za wazungu zinazuia watu kufikiri ndio maana hata wewe na wengine wengi hamuoni tatizo kuacha kitu kama kilivyo. Haya mambo ya kiimani ni mtu binafsi na akili zake, ngumu sana kuelewana, unaweza elezea Sikh nzima MTU asikuelewe jambo jepesi.

Dini ni laana, zimeletwa na binadamu kwa madhumuni ya waletaji, hivyo yatupaswa kuzikataa.
Pctr speaks louder and is well understood

upo sahihi mkuu HOSHEA,dini zilivumbuliwa na wanadamu ambao walikuwa wavivu wa kufikiri

Mvivu wa kufikiri anaposhindwa kuelezea asili ya mwanadamu,atakwambia kuwa Mungu alimuumba

mvivu wa kufikiri anaposhindwa kuelezea chanzo cha maisha,atakwambia kuwa Mungu aliyaumba

yaani kila kitu wana kiattribute kwa mungu kwasababu ya uvivu wao wa kufikiri.
 
That's your own making! What Christians believe is that biblical narratives are inspired and may not necessarily be factual (explaining what exactly happened eg God fashioning Adam from the earth and Eve from Adam's ribs), but theological (explaining what's behind the narrative - that we come from him). If we read that God created the world in six days and rested on the seventh, it doesn't mean he followed the calendar we have today because at the time he created there was no calendar (no Monday-Sunday). It's also the case that the narratives are in a chronological order, but are arranged according to themes.

this is what we call fallacious argument.

biblical narrative has nothing to do with this obvious contradiction

creation of light for instance occur without any source, is this still biblical narrative?..definitely not

this is simple logic,light cannot occur without source,either accelaration of electron or as product of complex reaction in the stars
 
teh teh teh!

mkuu PETER,hao wafia dini ni arrogant sana
cha zaidi watatoa matusi tu maana ndiyo kitu wanachokijua.

Mkuu mimi binafsi nilishawahi kufanya kazi madhabauni kwa kipindi fulani, hivyo haya mambo yako tofauti sana na wengi wanavyodhani sema ndo hivyo hawaambiliki nabaki nawaangalia tu maana wengi ni wakristo wa jumapili
 
Huyo ndio Mungu bhana. Hata Malaika wa mbinguni hawamjui sawasawa sembuse wewe?

you make me laugh mkuu.

unasema kuwa hata malaika wa mbinguni hawamjui,lakini malaika Gabriel anajitambulisha kwa mariam kama malaika anayesimama mbele ya kiti chake cha enzi...hapa bado hamjui?

back to the topic,Mungu hajulikani kama ulivyosema,lakini biblia inajulikana kama Neno lake

sasa kama neno lake mwenyewe limecontain fallacy ilihali yeye ndiyo omniscient,iweje tuendele kumuamini?
 
Back
Top Bottom