Error E0000-0000 for Cannon Ir 2202

Error E0000-0000 for Cannon Ir 2202

kidubyah

Member
Joined
Oct 26, 2016
Posts
14
Reaction score
3
naombeni msaada wa kuondoa E0000-0000 kwenye photokopy mashine Ir 2202 ilianza na error E200-0000 nikaondoa lakini sasa inaonyesha hivyo nimejaribu kuondoa haitoki msaada kwa uzoefu zaidi
 
Back
Top Bottom