Ernest Komba baada ya kupigwa na mke wake, aanzisha chama cha wanaume wanaoteswa majumbani

Kuna watu hapa wanamtukana Komba lakini watamsifia Johnny Depp kwa kitendo chake cha kumshtaki Amber Heard.

Amber Heard alikua akimpiga Johnny Depp wakati wa uhusiano wao, Elon Musk pia amepigwa na huyu binti wakati wa uhusiano.

Shida siyo elimu. Shida ni logic ya waTz wengi ni fupi mno.

Unafahamu namna US ilivyo na sheria za kumlinda mke au mtoto?

Mzazi tu kumchapa mtoto ni msala, sasa fikiria mume maarufu/tajiri ampe mabanzi mkewe, uone atavyotoka kuwa hero kwenda zero
 
huyu Mngoni wa wapi jamani? Mbna anaaibisha hivi kabila letu?

Mwavalongo hasa vagosi mbwela kuni naha kuna mgosi muyinu ikita mambu ga ajabu Muni.
Yaan mgosi iwanzisha chama cha vibunwa na vadala vao,

Kupatwaaa kwa wangoniiiiii. Woiiiiiiiiiiii

Kwa hoja hii uliyotoa ni kama vile unamaanisha ni sahihi kwa aliye Marekani kujitokeza ila siyo mTanzania?
 
Msishangae kumbe taasisi hii inafadhiliwa kutoka nje na hela zitaanza kuingia karibuni
Nyie mnabaki kumcheka baadae mtasema huyu huyu aliekuwa anapigwa?
Dunia hii inatakiwa kutafuta kwa akili sio nguvu tena

Mitandaoni watu wanaokoteza mengi
 
Umeona mbali sana
 
Huyo mwanamke aje huku mara, Sisi huku hatukawizi🤨🤨 Saba za kichwani alafu⚰️⚰️ tunasahau
 
huyu Mngoni wa wapi jamani? Mbna anaaibisha hivi kabila letu?

Mwavalongo hasa vagosi mbwela kuni naha kuna mgosi muyinu ikita mambu ga ajabu Muni.
Yaan mgosi iwanzisha chama cha vibunwa na vadala vao,

Kupatwaaa kwa wangoniiiiii. Woiiiiiiiiiiii

Jova dadi
 
Wangoni hao wamekuja mjini wakakutana na wanawake wa dar

Mwanaume wa dar kamwe hasumbuliwi na mwanamke

Atasumhuliwa na panya road au polisi tu… lakini kwa wanawake kamwe haitokei

Acrually wanaume wa dar wanaongoza kwa kutapeli dada zetu
Afu we mpare weweee..!!!
 
Back
Top Bottom