Eritrea panatisha, Bora Tanzania

4 ) Vijana wadogo wanataka kuondoka
''Kupata pasi ya kusafiria ni kama ndoto iliyokuwa kweli,'' anasema kijana mmoja.
Lakini anasema vijana hawapewi pasi za kusafiria mpaka baada ya kufuzu mafunzo ya jeshi.

Kuondoka sio suluhisho. Yaani mafunzo yote hayo ya jeshi wanapewa bure bado wanakaa tu? NI sawa na ukiwa na njaa mtu anakupa chakula halafu unataka kwenda kwa jirani kula.

Wanahitaji kupigiwa ngoma ili watambue wanawezaje kuyatumia mafunzo yao ya jeshi?
 
Hivi inakuwaje mtu mmoja anaweza kuwaburuza mamilioni atakavyo?.Ndio kusema Africa hamnaga wana mapinduzi wa kweli.
Wamenyimwa elimu wamenyimwa exposure wamedhibiti vyombo vya habari.Mbona atuchekani
 

Watawala Wa Africa ni mzigo kwa dunia wawwezacho kwa bidii ni kuzalisha wakimbizi duniani na propaganda nyingi
 
Hujiulizi wazungu wachache waliwezaje kutufunga minyororo kwenye ardhi!,...mchawi wa waafrika ni yule anaetufundisha historia ya kwamba tulitawaliwa ...hi ni historia mbaya ambayo hatupaswi kuijua...maana inatufanya tujione waovyo
Hivi inakuwaje mtu mmoja anaweza kuwaburuza mamilioni atakavyo?.Ndio kusema Africa hamnaga wana mapinduzi wa kweli.
 
Wanawake Eritrea ni wengi kuliko wanaume na serikali mwaka 2017 ilipitisha sheria ya kuwalazimisha wanaume kuoa wanawake zaidi ya mmoja ikiwemo wageni wanaotaka kwenda kuishi katika taifa hilo
 
Asante kwa nondo mkuu upo vizuri.
 
Wana njaa sana ukiwakuta wanaishi Europe na America walivyo na dharau utafikiri kwao kuna neema
huko europe mbona mbali.
ingia tu instagram uone wanawake wao wanavyoji-upgrade, unaweza sema wanatoka katika taifa ambalo gdp yake ni 375.8 billion USD, kumbe wanatoka katika taifa ambalo linacheza kwa gdp ya 2.608 billion USD.

wanawake wa ki-eritrea hawana tofauti na wenzao wa kinyarwanda. ukiwaona kule instagram unaweza sema hawana asili ya ya bara la africa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…