Erick Shigongo awa Mwanafunzi bora Chuo cha Tumaini

Hata vyuo vikubwa duniani kama havard ama oxford inawezekana kwa mfumo wa non traditional student. Ama mature entry system...ama shahada ya kurasimisha ujuzi
sasa si wangerasimisha wale wafanyakas
soma maelezo kwa utulivu
 
Huyu jamaa simpendi kwa tabia zake, lakini ana akili sana, hata anapoongea unaona kabisa kuwa huyu ni mtu mwenye akili.
Hata unaposoma vitabu vyake unaweza kuona ni mtu wa aina gani, mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.
Usiwe unachukia watu, hata kama sababu za kuwachukia zipo. Mtu ni mfano wa Mungu. Wakwepe, usiwachukie
 
Kuna vyuo siwezi kusoma, hata kama nitalipiwa ada na kulipwa mahitaji mengine yote bila kurejesha!
Siwezi pia kuruhusu mtoto ama ndugu asome huko!
 
Ni vigezo gani vinatumika na kujiunga hapo maana nimeona kama hina pesa na umaarufu huruhusiwi+
 

Nikafkir utazungumzia maswalabya GPAkwamba alipata point kadhaa with Honour ndio awe mwanafunzi
 
Ukiwa na title na pesa walimu wa chuo wanakuogopa... kuna watu wamesoma PHD part time na wamezipata muda mfupi kuliko wanaosoma full time na hawajawai kuonekana maaabara na thesis zao hazieleweki


Naona unataka kupita alikopita Ben Rabiu Saa8
 
Mimi ki ukweli namkubari huyu jamaa nimesoma vitabu vyake vyote ki ukweli anastahili pongezi ni mfano wa kuigwa
 
Kati ya mengi nilojifunza ni pamoja na chuki inayojengeka kwa kasi miongoni mwetu Kati ya masikini na Tajiri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…