Sio kila kitu mpaka tuigeWafungwa wafanye kazi mbona nchi zingine wanafanya kazi mfano rwanda nimeshuhudia kwa macho yangu wafungwa wakilima mpunga
Wafungwa wafanye kazi mbona nchi zingine wanafanya kazi mfano rwanda nimeshuhudia kwa macho yangu wafungwa wakilima mpunga
Ni mfanyakazi wa kwanza duniani asiyefahamu nini maana ya paid leave allowance let alone house allowance!
Backnowledge in the days shafanya sana as Online Freelancer! Mara nyingi kila nilipopata mkataba unaozidi mwaka mmoja; one of the benefits ilikuwa paid leave. Hiyo ni freelancing; virtual working, maarufu kama online jobs...seuze desk job!!
Kwanza unaonekana muongo! Huwezi kupata paid leave TSH. 4M halafu house allowance upate sh. 200K.
Laki 2 ni gharama ya chumba kimoja (self) tu Uswahilini wakati kwa serikalini anayefikia kulipwa 4M ni boss kwelikweli ambae there's no way anaweza kulipwa house allowance ya kuishi Uswahilini kwenye chumba kimoja!!
Peleka uongo wako Lumumba mtu usiyefahamu hata uwiano kati ya paid leave allowance na house allowance!!
ndo maana nikasema it was wrongNi mfanyakazi wa kwanza duniani asiyefahamu nini maana ya paid leave allowance let alone house allowance!
Backnowledge in the days shafanya sana as Online Freelancer! Mara nyingi kila nilipopata mkataba unaozidi mwaka mmoja; one of the benefits ilikuwa paid leave. Hiyo ni freelancing; virtual working, maarufu kama online jobs...seuze desk job!!
Kwanza unaonekana muongo! Huwezi kupata paid leave TSH. 4M halafu house allowance upate sh. 200K.
Laki 2 ni gharama ya chumba kimoja (self) tu Uswahilini wakati kwa serikalini anayefikia kulipwa 4M ni boss kwelikweli ambae there's no way anaweza kulipwa house allowance ya kuishi Uswahilini kwenye chumba kimoja!!
Peleka uongo wako Lumumba mtu usiyefahamu hata uwiano kati ya paid leave allowance na house allowance!!
kwani tanzania wafungwa hawafanyi kazi, nimeshuhudia kwa macho yangu wafungwa wakilima mpunga katavi gereza la kalilankulukulu tena heka za kutoshaWafungwa wafanye kazi mbona nchi zingine wanafanya kazi mfano rwanda nimeshuhudia kwa macho yangu wafungwa wakilima mpunga
Aiseee wamekunyoosha!!!! Umekua mpolee.ndo maana nikasema it was wrong
Mkuu kunywa supu na chapati nitalipa. Well answered bro. Kuna mijitu na mahaba kipofu kiasi cha kuita kinyesi keki hata kama kinawakera ili tu kusifia uoza wanaoupenda.Ni mfanyakazi wa kwanza duniani asiyefahamu nini maana ya paid leave allowance let alone house allowance!
Backnowledge in the days shafanya sana as Online Freelancer! Mara nyingi kila nilipopata mkataba unaozidi mwaka mmoja; one of the benefits ilikuwa paid leave. Hiyo ni freelancing; virtual working, maarufu kama online jobs...seuze desk job!!
Kwanza unaonekana muongo! Huwezi kupata paid leave TSH. 4M halafu house allowance upate sh. 200K.
Laki 2 ni gharama ya chumba kimoja (self) tu Uswahilini wakati kwa serikalini anayefikia kulipwa 4M ni boss kwelikweli ambae there's no way anaweza kulipwa house allowance ya kuishi Uswahilini kwenye chumba kimoja!!
Peleka uongo wako Lumumba mtu usiyefahamu hata uwiano kati ya paid leave allowance na house allowance!!
Tofautisha kati ya kufanyakazi za uzalishaji na kazi za kumkomoa mtu kisa yeye ni mfungwa.Wafungwa wafanye kazi mbona nchi zingine wanafanya kazi mfano rwanda nimeshuhudia kwa macho yangu wafungwa wakilima mpunga
Kauli yoyote atakayo inena JPM lazima kundi fulani lipinge tu, kwa kuwa hawana sera nyingine kama sio ya kukaa golini na kusubiri kauli! Pathetic walahi!Wafungwa wafanye kazi mbona nchi zingine wanafanya kazi mfano rwanda nimeshuhudia kwa macho yangu wafungwa wakilima mpunga
Hujashuhudia wafungwa wetu wa gereza la kitai wakilima mnatoa mifano Rwanda kwa Dictator mwenzenuWafungwa wafanye kazi mbona nchi zingine wanafanya kazi mfano rwanda nimeshuhudia kwa macho yangu wafungwa wakilima mpunga
Gerezani uwe umekaa tu ni shida na tabu huyu rais hajawahi kukaa hata selo walah!kwani tanzania wafungwa hawafanyi kazi, nimeshuhudia kwa macho yangu wafungwa wakilima mpunga katavi gereza la kalilankulukulu tena heka za kutosha
yaani ww unaamini kuambiwa wafungwa wanaishi kwa raha kama sheratoni, wanapigika kule si mchezo
Ngoja mwanao wazazi na ndugu yako wafungwe kama utarudi hapa na hayo maujinga yakoKauli yoyote atakayo inena JPM lazima kundi fulani lipinge tu, kwa kuwa hawana sera nyingine kama sio ya kukaa golini na kusubiri kauli! Pathetic walahi!
China na nchi za kiarabu huwa hawana mchezo kabisa!