Eric Shigongo afiwa na baba yake

Shigongo achukue nafasi hii 'kujifunza'

hupaswi shabikia ugonjwa wa mtu wa kifo cha mtu

'anavyomfanyia Diamond now sio utu'
mbaya zaidi ni uzushi kuliko ukweli
inawezekana diamond mwenyewe anafurahia cheap popularity huwezi jua
 
Bora Amefariki labda itampa muda shingongo ku re-think kidogo...anavyo andama maisha na vifo vya watu. nakumbuka kifo cha amina chifupa alianzisha article kabisa yake yeye mwenyewe shingongo kuandika ya chifupa hata akiwa kaburini.

R.I.P Baba shingongo umetuachia mzigo wa mtoto wako.
 
Hata kama angekuwa tajiri kufa ni lazima.pole sana sir.shigongo na hiko kilio chako ni kama tairi la gari linapo pasuka safarini.mungu atakupa nguvu uendelee na kazi zako

acha kujipendekeza u'sir kapewa lini??
 
acha kujipendekeza u'sir kapewa lini??

kama ningekuwa mfalme wa uingereza aisee shigongo ningempa cheo cha usir kwasababu wa ujasili wake wa kuruhusu kuchapisha ukweli kwenye magazeti yake ili kumtetea mnyonge;kama ningekuwa raisi wa hii nchi ningetuma salamu rambirambi ,jamani sio kama najipendekeza kwake ila ni upeo tu wa fikra wajamii!
 
acha kujipendekeza u'sir kapewa lini??

kama ningekuwa mfalme wa uingereza aisee shigongo ningempa cheo cha usir kwasababu wa ujasili wake wa kuruhusu kuchapisha ukweli kwenye magazeti yake ili kumtetea mnyonge;kama ningekuwa raisi wa hii nchi ningetuma salamu rambirambi ,jamani sio kama najipendekeza kwake ila ni mawazo tu jamani!
 
Daah Pole Eric pesa imeshindwa kumuokoa baba yako, nilisikia kuwa ulimpeleka India kwa ajili ya matibabu lakini imeshindikana ukamrudisha nchini akiwa bado hana afya njema, umepigana sana kuokoa maisha yake lakini Mungu amempenda zaidi, pole.

pesa yenyewe hiyo mpaka uuze picha za watu uchi na uongo mwingi ndo uipate??? pesa ni pesa tu, lakini pesa zingine ni za laana. pesa kama hizi kwa imani za watu fulanifulani huwezi hata kununulia nguo ya kuendea kwenye nyumba za ibada achilia mbali kudiriki ibada yenyewe. NAHENE NNAMHALA, TONGELAGA KO, NISE T'OU'L'EI' K'OU' NNUMA T'OU'LIZA, 'OU' L'OU'FU LWA BHOSE.
 
inawezekana diamond mwenyewe anafurahia cheap popularity huwezi jua

kwa hiyo unamaanisha kuwa jamaa akiwa na habari asitoe.unajua hii ni dunia ya utandawazi kwa hiyo mtu akiwa maarufu lazima watamfuatilia kwa sababu hiyo ni kazi ya muandishi.hata wewe ungekuwa maarufu wangeandika habari yako aijalishi mbaya au nzuri.kwa hiyo this is called freedom of press and is democrasy.kwa hiyo nakuomba uombe msamaa kwa shigongo kwasababu utakuwa unautetea democracia lakini ukiwa unamponda basi wewe utakuwa na matatizo either membe amekutuma au kova amekutuma.
 
kama ningekuwa mfalme wa uingereza aisee shigongo ningempa cheo cha usir kwasababu wa ujasili wake wa kuruhusu kuchapisha ukweli kwenye magazeti yake ili kumtetea mnyonge;kama ningekuwa raisi wa hii nchi ningetuma salamu rambirambi ,jamani sio kama najipendekeza kwake ila ni mawazo tu jamani!

mhuuu!! Sio bure.!!
 
Back
Top Bottom