Eric Omondi vs Pilipili - Tupige Kura

Eric Omondi vs Pilipili - Tupige Kura

0
hauko serious za kazi zako
huyo mleta mada ana lengo la kupata likes na viewer ila kwa hili kachemka maana kila mtu akisoma heading tu tayari ashaidharau hata kufungua.

Sa kwa hili kachememka.
 
kwani pilipili nae ni comedian? maana naona ni makelele tu yasiyo na tija
 
0
huyo mleta mada ana lengo la kupata likes na viewer ila kwa hili kachemka maana kila mtu akisoma heading tu tayari ashaidharau hata kufungua.

Sa kwa hili kachememka.
Umesema wewe
 
Jana nimemuangalia TV one ..wakawaida sana huyo PiliPili
 
Haupo serious pilipili huyo anaejichekesha na kulazimisha kipaji unamuweka na omondi? Ni kosa kubwa sana.
 
Bora kidogo Unger linganisha omondi na Churchill show, ukitaka kujua comedian wa kenya wapo juu wao wanaandaa live shows, watu wanatoa viingilio Kwenda kiburudani, tofauti na hawa wa kwetu wanao tegemea air time Za TV stations.
Ebu ingia YouTube uangalie show za omondi.
How to be magufuri, how to be Sauti soul, how to be diamond nk.
Jamaa yuko vizuri, he is one man comedian army, tofauti na Churchill show ambayo is a combination of different comedians.
Teh teh... Asante
 
Back
Top Bottom