Eric Omondi vs Pilipili - Tupige Kura

Eric Omondi vs Pilipili - Tupige Kura

Hivi kweli umewza nini kumshusha Omondi kias cha kumshindanisha na pilipili!!! Ebu mtake radhi Omondi
 
Huyo hoho mm hata simwelewagi, punde utasikia ni mtangazaji wa redio/tv maana ndo wanakokimbiliaga baada ya kufulia....... cc Mpoki
 
Usikute mtoa mada ndio Pilipili mwenyewe, kwa hiyo anataka Kiki! Omondi ni next level wewe jilingalinishe na kina Zembwela.
 
Ukimaliza hapo umlete babu ayub vs Mca Tricky
 
Kama mtu huna mada bora ukae kimya tu
 
Wadau eti kati ya Eric Omondi na MC Pilipili nani mkali?

Najitolea kuhesabu kura na kutangaza matokeo hapa hapa..


Ukipiga kura toa sababu..


So far mimi namkubali Omondi anaweza imba pia kitu ambacho sijawahi ona Pilipili akifanya


ERICK OMONDI NI NOMAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA
 
Omond mkali ni international comedian na anakipaji aisee

Huu sas upuuzi huwez kumlinganisha Omondi na pilipili

Omondi yko juu sana ila pilipili anacopy sana kutoka kwa wakenya..........
Eric Omondi 100%

[HASHTAG]#StepByStep[/HASHTAG]
 
kabla hata cjajua ulichoandika naomba nikukanye....;
Acha kumfanisha eric na watu wasiojua
 
Sijawahi kucheka comedy yoyote ya Pilipili.. Hata hamkaribii hata kidogo Omond...
 
Back
Top Bottom