Pilipili hata mjomba kazoya wa jambo na vijambo hamuweziMtoa mada naona unalinganisha vitu viwili visivyo lingana.Mlinganishe Erick na Basket mouth au da drunker.Pilipili wenzake ni kina kipemba,senga,kingwendu etc.Pilipili hawezi kushindana hata na joti na kundi lake au mkwere.
Asante Kwa ufafanuzi.. Nimejifunza kituBora kidogo Unger linganisha omondi na Churchill show, ukitaka kujua comedian wa kenya wapo juu wao wanaandaa live shows, watu wanatoa viingilio Kwenda kiburudani, tofauti na hawa wa kwetu wanao tegemea air time Za TV stations.
Ebu ingia YouTube uangalie show za omondi.
How to be magufuri, how to be Sauti soul, how to be diamond nk.
Jamaa yuko vizuri, he is one man comedian army, tofauti na Churchill show ambayo is a combination of different comedians.
Kura hii imeharibikaAmna wote hawana maana

Umeona eehKura hii imeharibika![]()
Mleta mada usije ukaihesabu ukamuongezea mgombea yoyote![]()
Hata yako Imeharibika... Omondi Mkali sijawahi Cheka vichekesho vya pili2 afadhali vya kinyambe Marehemu huwa nachekaUmeona eeh