Eric Omondi vs Pilipili - Tupige Kura

Eric Omondi vs Pilipili - Tupige Kura

Ethos

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2015
Posts
2,294
Reaction score
2,090
Wadau eti kati ya Eric Omondi na MC Pilipili nani mkali?

Najitolea kuhesabu kura na kutangaza matokeo hapa hapa..


Ukipiga kura toa sababu..


So far mimi namkubali Omondi anaweza imba pia kitu ambacho sijawahi ona Pilipili akifanya

 
Omondi 2 Pilipili 0
 
Omondi 3 Pilipili 0
 
Omondi ni international huyo mwingine kwa ajili ya Lumumba branch
 
Inaonesha una nia ya kumdhalilisha MC Pilipili kwa kumlinganisha wa wakongwe wa hii fani....
 
Mtoa mada naona unalinganisha vitu viwili visivyo lingana.Mlinganishe Erick na Basket mouth au da drunker.Pilipili wenzake ni kina kipemba,senga,kingwendu etc.Pilipili hawezi kushindana hata na joti na kundi lake au mkwere.
 
Du mtoa mada mungu anakuona...Yaani unamdhalilisha sana Omondi kumcompare na huyo Mwalimu Pilipili zero kabisa kwenye comedy.Hana kipaji kabisa analazimisha tu
 
Omondi no mkale kuna jamaa anaitwa mc Jesse anakuja juu kwa kasi sana
 
Dah naona nimeleta mpambano ambao marefa wanajua matokeo
 
Back
Top Bottom