Equivalent nao watapata bumu au ?

Sep 4, 2012
15
0
Ndugu zangu nisaidien kufahamu kama wale waliosoma diploma NTA level 6 na FTC watapata mkopo,kama wana vigezo vyote kwasababu kuna taarifa nimesikia kuwa wale wa direct from school ndo watakaopata
 
Kuwa na subira humu kila mtu anasema chake. just be patient
 
Ndugu zangu nisaidien kufahamu kama wale waliosoma diploma NTA level 6 na FTC watapata mkopo,kama wana vigezo vyote kwasababu kuna taarifa nimesikia kuwa wale wa direct from school ndo watakaopata

chalii kachara 2lia zako k2 kinuke kaka,niaje machalii humu wanaweza kukuamushia wenge,
 
Back
Top Bottom