Baada ya serikali kukaaa na wanayoita bodi ya mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu wameamua kuwatosa vijana wenye sifa linganishi kupata mikopo kwa kutoa sababu ambazo hazina mpango wowote, kwani hawa vijana hawana haki ya kupata mikopo? Enzi za mungai, msolla na maghembe hawakuliona hili suala? Mpaka leo hii kwenye uongozi wa kawambwa ndio wameliona hili? Hii sisi haitufai wanafunzi kabisa. Bora watafute njia nyingine, wameamka tu nakusema kuwa mwaka huu mikopo haitatolewa kwa watu equivalent kwa nini?
Hawa Equivalent wanapaswa kusomeshwa na halmashauri zao. Kuna fungu linatengwa kila mwaka kwa ajili hiyo. Hongera bodi.
kuna mtu humu anajiita mzee nimeshafanya utafiti naona anataka kutujazia server tu kwa mambo anayoyafanya.
sijui anamatatizo gani..
kuna mtu humu anajiita mzee nimeshafanya utafiti naona anataka kutujazia server tu kwa mambo anayoyafanya.
sijui anamatatizo gani..
No research, no right to speak! Una uhakika gani kuwa fungu linalotengwa na halmashauri kwa ajili ya kuwaendeleza watumishi wao linatosha kuwasomesha wale wote wenye vigezo? Na wale walio katika sekta binafsi watasomeshwa na nani?
Keep on mind that hata wao wana haki ya kupata mkopo only if kama wamekidhi vigezo, imagine ingekuwa imemtokea mdogo wako ama nduguyo yeyote, how would you feel it.
Hawa Equivalent wanapaswa kusomeshwa na halmashauri zao. Kuna fungu linatengwa kila mwaka kwa ajili hiyo. Hongera bodi.
Hivi hakuna namna ya wakuwa-disable mambumbu kama hawa?! Mzee umezeeka vibaya kamalizie siku zako za kuishi kwa amani make michango yako ni kichefuchefu tu humu ndani,unanikwaza kila siku nikisoma upuuzi wako!?!!!Thats you are talking kaka, tell him
Hivi hakuna namna ya wakuwa-disable mambumbu kama hawa?! Mzee umezeeka vibaya kamalizie siku zako za kuishi kwa amani make michango yako ni kichefuchefu tu humu ndani,unanikwaza kila siku nikisoma upuuzi wako!?!!!
Hawa Equivalent wanapaswa kusomeshwa na halmashauri zao. Kuna fungu linatengwa kila mwaka kwa ajili hiyo. Hongera bodi.
Ni kwanini bodi tangia mwanzo wasiseme kuwa equivalent hatuta wakonsida ili wasiombe kabisa maana waliwapotezea muda na garama. Kweli ccm mnalea ujinga[/QUOTE
Ndo naposhangaa kwanini wasingetoa hizo taarifa mapema?
Hawa Equivalent wanapaswa kusomeshwa na halmashauri zao. Kuna fungu linatengwa kila mwaka kwa ajili hiyo. Hongera bodi.
Hivi hakuna namna ya wakuwa-disable mambumbu kama hawa?! Mzee umezeeka vibaya kamalizie siku zako za kuishi kwa amani make michango yako ni kichefuchefu tu humu ndani,unanikwaza kila siku nikisoma upuuzi wako!?!!!
kwani ni lazma kuwasomesha wote walio na vigezo at once.
Bodi lazma ihusike zaidi na wale direct japo nao wapate elimu. Fatilia bajeti za halmashauri kuna fungu la kuwaendeleza watumishi ila wanazila.
mzee vp?mbona icho kitu sijawahi kukisikia?
Au kipo halmashauri gani hapa Tanzania wengine hatujawahi kukisikia.
Hata ivo,kwanini equivalent wananyanyaswa ivo?mara mwaka huu hampati mikopo,mara hatutoi mkopo kama huna cheti cha kumaliza ili mradi wanawasumbua tu.