Davion Delmonte Jr.
JF-Expert Member
- Oct 27, 2013
- 2,149
- 1,720
we ni mtu mkubwa sana zanzibar spices, sitaki kuamini unataka kubisha kuhusu Hili.. Ntakushangaa sana.Acha Uongo
we ni mtu mkubwa sana zanzibar spices, sitaki kuamini unataka kubisha kuhusu Hili.. Ntakushangaa sana.Acha Uongo
Bank ya Equity Arusha leo siku ya 15 wameshindwa kutupatia pesa zetu tuliohifadhi katika bank hiyo, tunaomba bank kuu ifuatilie jambo hili haraka.
Kuna kila dalili bank hii imefilisika au kuna wizi mkubwa umefanyika. Isijekuwa kama bank ya Greenland wakati ule, kwani haiwezekani kutuambia hawatupi hela zetu kisa mtandao wa internet ni mbovu.
Bank kuu tunaomba mwingilie kati mara moja kabla hii bank kutoka Kenya haijatoweka na mamilioni yetu. Ajabu sana, yaani siku kumi na tano unanyimwa kuchukua pesa yako. Imekuwa Uturuki!? Na taarifa pia kwa ubalozi wa Kenya hapa Tanzania.
Nawasilisha
[h=1]Equity Bank makes Sh8.5bn net profit to keep pace with KCB[/h]Mimi nashangaa haka kabenki kamekuja juzi kanataka kushindana na wakina exim na crdb , unaweza kuta wanadanganya kwenye balance sheet zao tuwaone wanakua , Mkenya siku zote anatakiwa aangaliwe na jicho la tatu hapa kwetu.
Mimi nashangaa haka kabenki kamekuja juzi kanataka kushindana na wakina exim na crdb , unaweza kuta wanadanganya kwenye balance sheet zao tuwaone wanakua , Mkenya siku zote anatakiwa aangaliwe na jicho la tatu hapa kwetu.
Bank ya Equity Arusha leo siku ya 15 wameshindwa kutupatia pesa zetu tuliohifadhi katika bank hiyo, tunaomba bank kuu ifuatilie jambo hili haraka.
Kuna kila dalili bank hii imefilisika au kuna wizi mkubwa umefanyika. Isijekuwa kama bank ya Greenland wakati ule, kwani haiwezekani kutuambia hawatupi hela zetu kisa mtandao wa internet ni mbovu.
Bank kuu tunaomba mwingilie kati mara moja kabla hii bank kutoka Kenya haijatoweka na mamilioni yetu. Ajabu sana, yaani siku kumi na tano unanyimwa kuchukua pesa yako. Imekuwa Uturuki!? Na taarifa pia kwa ubalozi wa Kenya hapa Tanzania.
Nawasilisha
Subscribe
Like
Follow[/TD]
…Marketing @work!!!!!What awaits Equity in DRC as Germans leave
Equity Bank's purchase of a 79 per cent stake in ProCredit Bank DRC marks the end of ProCredit Holding's presence in Sub-Saharan Africa (SSA). The Frankfurt-based financial holding group has now exited all its five African businesses.
With the acquisition, Equity Bank now becomes the first Kenyan bank to open shop in the DRC. However, it is not a unique phenomenon to the DRC's banking sector, which is already dominated by foreign banks.
Out of the 18 commercial banks currently operating in the country, only two are locally owned: Banque Commerciale du Congo or BCDC, which is majority-owned by the State, and Trust Merchant Bank-which is majority-owned by a local investor.
The remaining 16 banks are foreign majority-owned. Additionally, Equity now becomes the 10th pan-African financial group to establish operations in the DRC.
to me its still a crawling toddler!!!Equity Bank makes Sh8.5bn net profit to keep pace with KCB
The bank's net profit in the six months to end of June stood at Sh8.5 billion compared to Sh7.6 billion a year earlier, placing it second after KCB whose net profit rose to Sh9.2 billion (13 per cent) in the period from Sh8.1 billion.
Equity's interest income rose 13.5 per cent to Sh19.2 billion while income from transactions and other fees increased 30 per cent to Sh10.8 billion. The bank's core lending business benefited from a 26.9 per cent increase in the loan book to Sh236.8 billion.
Equity's lending capacity got a boost after global institutional investors, including the US development finance institution OPIC, committed to provide it with Sh52.5 billion for onward lending to youth, green energy investors and other groups.
Kuna member mmoja wa jf anafanya kazi equet bank hapa mwanza ila kaamia dar jina limenitoka
Kuna member mmoja wa jf anafanya kazi equet bank hapa mwanza ila kaamia dar jina limenitoka
to me its still a crawling toddler!!!
Hakuna Kitu kama Bank Kuu TanZania bali kuna Benki Kuu, kuwa makini kama unataka kusaidwa na kusikilizwa!