Ila nnahisi kwa hapa bongo ccm watachemsha maana wanaopanga maandamano hawapo kwenye chama chochoteHii taarifa ni ya uongo..wewe umetumwa na Ccm kuja kutuogopesha kuwa tarh 26/04 tusiandamane.
jina ni chama kikuu cha upinzani, mengine kaulizie huko Malaba,Habari imeshindwa hata kutaja Nina la chama kilichofutwa!!!? Eti chama kikuu cha upinzani!
Andamaneni tu, lakini mjue kuna watu maalum ambao kazi yao ni kuhandle maandamano yasiyoruhusiwa.Hii taarifa ni ya uongo..wewe umetumwa na Ccm kuja kutuogopesha kuwa tarh 26/04 tusiandamane.