Equatorial Guinea: Chama kikuu cha upinzani chafutwa rasmi

Equatorial Guinea: Chama kikuu cha upinzani chafutwa rasmi

Hata hapa kwetu sijui kwa nini serikali inailea ile saccos ya ufipa,ni kuifutilia mbali ,sisi sio wa kwanza,vinginevyo hili genge likiachwa madhara yake ni makubwa sana
Kwa hiyo magu anatakiwa amuige diktata Nguema? Kweli mmefikia pabaya
 
Maandamano yapo palepale mtatunga hadithi hadi za uongo, tatizo akili ndogo ikiongoza akili kubwa lazima bunduki zitumike kama auxiliary verb
Ulishindikana ukuta, sembese haya!!!!!?
Bado sana mkuu jipangeni upya.
 
Uongo,tunasikiliza nakuangalia taarifa.za habari karibu radio kinds zote hatujasikia hiyo taarifa
 
Huko Equatorial Guinea chama kikuu cha upinzani kimefutwa baada ya kuandaa maandamano yalisababisha fujo kubwa kupelekea watu kadhaa kupoteza maisha na wengine kujeruhiwa.

Maandamano hayo yalilenga kupinga uchaguzi mkuu uliokuwa umetarajiwa ambapo rais Theodore Ngwema kushinda.

Baada ya uchaguzi tume ya uchaguzi ilianzisha uchunguzi na kubaini kuwa maandamano hayo yalikuwa batili na kisha uamuzi ukatolewa wa kukifuta chama kikuu cha upinzani nchini humo, pia walioandaa maandamano wanatakiwa wakamatwe kwa kosa la kusababisha vifo na majeruhi.


Chanzo: African news

Nimeona kuna watu hawaamini hii ishu ila ni kweli kabisa imetokea, hukumu kufuta chama ilitolewa siku ya jumatatu tar 26 feb. 2018. Mtoa mada ameamua either kwa makusudi au bahati mbaya kuacha kuandika point muhimu zaidi kuhusu hii hukumu. Katika hayo maandamano yaliyotokea november 2017, polisi watatu walijeruhiwa na kuibiwa silaha ambazo ni AK47 tatu na pistol moja. Kwa lugha nyingine, maandamano yao hayakua ya amani, pengine hiyo ndio sababu kuuiliyopelekea chama kufutwa.
 
Back
Top Bottom